Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama ni 300 per car

Njia haijakuwa commissioned bado, 23000 is a good number...plus do you really think sasa hio number ndiyo itakuwa consistent? Watu wengine hata hawajajua Nairobi expressway ina exist ama imefunguliwa so it's not logical
 
Yaani wanatumia vitu outdated za 1950!
Mbona hazinunuliwi na superior military countries na zinauzwa kwa bei ya kutupa kama mtumba ya jioni. 🤣 🤣 🤣 Nchi kama South Korea na Brazil bado wanafanya upgrades za F5's hadi wa leo. Hizo Mig21 bandia zinatumika na nchi kama bangladesh hazija attract any strong military hadi wa leo, ilibidii wawache kuzitengeneza hata.
 
Mbona hazinunuliwi na superior military countries na zinauzwa kwa bei ya kutupa kama mtumba ya jioni. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nchi kama South Korea na Brazil bado wanafanya upgrades za F5's hadi wa leo. Hizo Mig21 bandia zinatumika na nchi kama bangladesh hazija attract any strong military hadi wa leo, ilibidii wawache kuzitengeneza hata.

Mig 21 vs Chengdu j7.
Mkiambiwa msome kabla ya kurukia comments za watu humu hamsikii.

IMG_1805.jpg

IMG_1806.jpg

IMG_1807.jpg
 
Yaani wanatumia vitu outdated za 1950!
Mbona hazinunuliwi na superior military countries na zinauzwa kwa bei ya kutupa. 🤣 🤣 🤣 Nchi kama South Korea na Brazil bado wanafanya upgrades za F5's hadi wa leo. Hizo Mig21 bandia zinatumika na nchi kama bangladesh hazija attract any strong military hadi wa leo, ilibidii wawache kuzitengeneza hata.
Mig 21 vs Chengdu j7.
Mkiambiwa msome kabla ya kurukia comments za watu humu hamsikii.

View attachment 2236281
View attachment 2236282
View attachment 2236283
Nani hii dunia hajui Chinese numbers are only good on paper, unadhani hizo militaries zote wamekataa kununua hizo mig21 bandia kwanini yet they claim eti hio ndege ni superior than an F35 or F16. Tuambie hizo mig21 bandia zimeshinda battle ngapi na gani?
 
Mbona hazinunuliwi na superior military countries na zinauzwa kwa bei ya kutupa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nchi kama South Korea na Brazil bado wanafanya upgrades za F5's hadi wa leo. Hizo Mig21 bandia zinatumika na nchi kama bangladesh hazija attract any strong military hadi wa leo, ilibidii wawache kuzitengeneza hata.

Endelea kuhamisha magoli.
Kubishana na mimi make sure unapenda kufanya tafiti na kusoma.

Kwa hiyo ulivyo post hii link ulikuwa unalazimisha Mig 21 kuwa chengdu j7.
IMG_1808.jpg

Kwani hukujua ni vitu viwili tofauti!
IMG_1807.jpg

Zero brain unalazimisha udongo kuwa unga!
 
Afu walikaa wiki mbili. Dah, hakika katiba imetuangushia jumba bovu [emoji134]
Haya Mambo huko Kenya ni mara kumi ya haya yanayofanyika Tanzania, pamoja na kuandika Katiba mpya, mkuu hili suala la Katiba mpya halina maana Sana kwa watanzania wa kawaida, hiyo ni zaidi kwa ajili ya "politicians".

Katiba haina polisi Wala jeshi la kusimamia matakwa yake, kiongozi anaweza kutotekeleza Katiba na hakuna lolote litatokea, Magufuli alipoamua kupiga marufuku mikutano ya vyama vya Siasa konyume kabisa na Katiba ya nchi, Je hiyo Katiba ilisaidia nini kuhakikisha utawala wa kisheria unakuepo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuhamisha magoli.
Kubishana na mimi make sure unapenda kufanya tafiti na kusoma.

Kwa hiyo ulivyo post hii link ulikuwa unalazimisha Mig 21 kuwa chengdu j7.
View attachment 2236299

Kwani hukujua ni vitu viwili tofauti!
View attachment 2236300
Zero brain unalazimisha udongo kuwa unga!
Eti tofauti, hizo chengdu ni copied versions za mig21 halafu wakaongeza vitu moja mbili. China wameshindwa hata kuuzia their powerful allies hizo ndege, wamebaki kuuzia poor countries like Tanzania, Bangladesh, Myanamar, Pakistan etc. 🤣 🤣 🤣 If they are superior than American or Russian aircraft mbona hazinunuliwi. Nchi mingi zinaogopa kurisk millions kwa hizo ndege cheap bandia.
 
Eti tofauti, hizo chengdu ni copied versions za mig21 halafu wakaongeza vitu moja mbili. China wameshindwa hata kuuzia their powerful allies hizo ndege, wamebaki kuuzia poor countries like Tanzania, Bangladesh, Myanamar, Pakistan etc. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] If they are superior than American or Russian aircraft mbona hazinunuliwi. Nchi mingi zinaogopa kurisk millions kwa hizo ndege cheap bandia.

Namba hazidanganyi na ndio maana unajibu comment moja mara mbili mbili.
"eti tofauti" (ukiwa na maana sio tofauti) wakaongeza vitu moja mbili) hujielewi ndio maana unajikanyaga.

Specification hazidanganyi.

IMG_1805.jpg

IMG_1806.jpg

IMG_1807.jpg
 
kwani is it a lie? Is Tsh 22b the same as Ksh 30b? Feelings peleka Tandale...
Is over pricing of your projects must be done in Tanzania?, because you ra very corrupt in every sector, you want us to be corrupt too?. The main reason why your SGR is expensive is corruption only, stop telling us your nonsense.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Video nzuri inayogusia inflation. Hii ni nzuri kwa yeyote anayetaka kuelewa mambo ya inflation kwa undani.
 
Tanzania Air forceView attachment 2236306
KAFView attachment 2236307View attachment 2236308
Na hawaja update hio list
Tunazo C145 Skytrucks View attachment 2236321
View attachment 2236319

Bell Huei II helicopters
View attachment 2236324
Wame indicate MD 500 yu ila poa kunazo MD 530
View attachment 2236325

Niko sure hio lost haina aircraft nyingi hayo tu nimenotice
Kenya airforce ina 150 aircrafts wakati Tanzanian airforce ina 40 aircrafts so hawa airforce yao ni ya utoto tu hata airforce ya Uganda imewashinda kwa mbali. By the way pia tuna Spartan transport aircraft 3 tulinunua kutoka Italy na sijaiona kwa hio list.
download (7).jpeg

download (8).jpeg
 
Mbona hazinunuliwi na superior military countries na zinauzwa kwa bei ya kutupa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nchi kama South Korea na Brazil bado wanafanya upgrades za F5's hadi wa leo. Hizo Mig21 bandia zinatumika na nchi kama bangladesh hazija attract any strong military hadi wa leo, ilibidii wawache kuzitengeneza hata.

Nani hii dunia hajui Chinese numbers are only good on paper, unadhani hizo militaries zote wamekataa kununua hizo mig21 bandia kwanini yet they claim eti hio ndege ni superior than an F35 or F16. Tuambie hizo mig21 bandia zimeshinda battle ngapi na gani?
F5 ni ndege ya zamani sana kijana watu sasa hivi wako kwenye F16 angalau kidogo iko modern na F17 F35 .

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom