Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soja anasumbuliwa na wivu. Nishaimpostia hadi payslips zangu lakini bado ujinga umemjaza akilini.
Sasa kama Kenya inaproduce 84,000 university graduates per year sasa The best 007 anashangaa nini? Wao watuambie wanaproduce university graduates wangapi kwa mwaka? Juu huku Kenya graduates ni wengi vibaya.
Screenshot_20220526-131715.png
 
Pambaneni na maua, haya mambo mengine tuachieni baba zenu, more of Mtwara [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2239143View attachment 2239144View attachment 2239145View attachment 2239146View attachment 2239147View attachment 2239148View attachment 2239150
Kiongozi usipate tabu kuwaletea evidence hawa kwanza watueleze hizo korosho huwa wanalima wapi na kiasi gani kwa mwaka. Maana wameona Tz inapiga hela kibao kwenye korosho na wao wanaiga sasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tony254 unaona hàpa huyo mpuuzi baada ya kuomba cheti cha mtu akapata confidence ya kunijibu hivi. Yani hapo mapema kabisa alianza kuongelea vyeti ili nimjibu alafu atume hicho cheti, na hii ni baada ya jana kuwaponda Wakenya wengi hawaoneshi vyeti isipokuwa Tony pekee ndio jamaa akaona ngoja afanye juu chini aombe cheti aweke humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

JF haiabudu vyeti, bali inakubali kujenga hoja kwa kuzingatia ujuzi, uweledi, uzoefu n.k.
 
Nairobi inavuliwa nguo na huyu mmarekani huko YouTube aisee 🤣

Kaanika slums zote peupe 😂😂😂

Kuna video juzi kati aliifanya akamwambia black American mwenzie kwamba Nairobi ni kuzuri kuliko Dar na ukienda Nairobi hurudi Dar, sasa sijui ni kituko gani hiki kaenda kukutana nacho yarabi 😂😂😂

Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
 
Bila mchina hapo kusingekua na izo towers na expressway, lakini mlivyo adabu hamna mko hapa kusema vitu vya kichina sio bora
Kwa wa ujenzi wa infrastructure, china wako sawa kabisa hata inaonyesha USA vumbi, ukiona jinsi majiji yao, barabara,bridges etc yamejengwa yapo sawa kabisa...pia kwa ujenzi wa reli na treni ya umeme, Lakini kwa vitu kama simu, magari, aircraft jamaa tuachie wenyewe...huwezi kuwa champe kwa kila kitu. Hata we unajua ukipewa option ya kununua gari german au chinese utachagua gani.
Northop brought you the Northop spirit B2 stealth Bomber. Most advanced military aircraft ever
View attachment 2236788
 
Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Kwahiyo anatoa na utamu? Kajuaje uzembe wa wanaume wa Watanzania? Na unamshangilia kwa vile tu anasema prejudice yake? Ngoja akirudi US halafu utajua her true opinion on Kunyans!
 
Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Watz atushobokei watu wanao zungumza kingereza pia atushobokei pesa za wageni sikama nyinyi wakenya mnasujudia mabeberu na wageni
 
Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Vip naona leo umeanza kujihami kwa kumponda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90][emoji90]kama ulikuwa unamfuatilia mbona ukumponda ulipo post video akisema sisi ni wazembe[emoji1787][emoji1787]. Mkunya akisikia tu mtu anakwenda kenya kutembelea makazi yao ya kawaida ndiyo unakuwa mwisho wa kumsifia huyo mtu na chuki zinaanza
 
Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Wazembe kumkaza au wazembe nn?
 
Hii trend ya kuonyesha vyeti nimeipenda kiasi...lakini sioni haja pia,Mana kuna watu wana vyeti vizuri lakini miandiko yao sikuzote ni ujinga ujinga tu...tutaku prove kweli ulisoma na ukatoa ujinga kichwani kulingana na namna unavyoweza kung'amua mambo....
Binafsi nisijitaje mtu huwezi kusema mtu kama gezaulole hajasoma...Huwezi kusema walker255 hajaenda shule utakua kichaa. .natoa tu mifano hai
 
Sasa kama Kenya inaproduce 84,000 university graduates per year sasa The best 007 anashangaa nini? Wao watuambie wanaproduce university graduates wangapi kwa mwaka? Juu huku Kenya graduates ni wengi vibaya.
View attachment 2239273
Haha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?

Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries

Screenshot_20220526-140450.png
 
Back
Top Bottom