7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Ni kweli soon tutaikutia Morocco.Tanzania raha Sana, Yaani Tunisia huwa inapokea namba kubwa Sana ya visitors kuliko Tanzania ila kwenye mapato tunawapiga..
Tafsiri yake ni kwamba Tanzania tunafanya high end tourism kwa sababu vivutio vyetu ni exclusive and unique.