Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Me mwenyewe nmeshangaa mwezi huu mbona kahela kameongezeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
Hongera mkuu [emoji41][emoji41][emoji2][emoji2]
 
Wameishiwa hela za BRT 2 sababu ya kurudiarudia kazi[emoji28], so wamepewa za BRT 3 ili wafidie [emoji2960][emoji1787]
Sasa hapo kuna kumaliza kweli au tunabaki hapo hapo kama gari bovu??
 
Wewe unaishi wap? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakamba sana we jamaa...
Moshi ukienda buchani unakatiwa nyama unayotaka plus utumbo...Huku dar ndio nashangaa utumbo unauzwa juu kwa juu
Sehemu nyingi Tanzania wanauza hivyo ,ukikataa utumbo unaulizwa wewe mgeni huku?

Arusha na Kagera yote wanachanganya utumbo na nyama, labda kama unanunua steak ndipo huchanganyiwi.
 
Kwa wenye magari.. mfano yangu full tank ni litres 93.. nilikuwa najaza mara mbili full tanks kwa almost 460k ( 230k×2)
Saiz najaza full tank mara mbili kwa almost 630k

Sasa difference hapo ni almost 170k.. ambao ni kulekule kwenye ongezeko, so ongezeko lote limeenda kwenye mafuta (kwa wafanyabiashara na serikal)
Sasa hapo bado gharama zingine vya vyakula, ujenzi, etc. 2025 mtalii akapumzike
Kuongeza mishahara bila kuzuia mfumuko wa bei ni kazi bure tuu ila acha tungojee adi agosti tuone zile hatua walizochukua ili kushusha bei za mafuta zitasaidia la sivyo watakua wametupiga chenga ya kichwa tuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20220514-WA0014.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vipapatio vya kuku ni ghali kama almasi

Wakati Tanzania mgeni akija ukampa kipapatio ni dharau kubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Duuhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kariakoo ni most congested district in the region yet its the most clean place in the region as well!

Nairobi ni makapurwa they need to take lessons from Kariakoo

Alafu cha ajabu ni kwamba kariakoo unaweza ukatembea umbali mrefu usikute dust bin lkn co pachafu, ila Nairobi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani yupo slow na kazi yake nI ya ovyo bora mjapani yupo slow ila kazi safi
Ni kweli Mjapan anamaliza kazi,kwanini wale Tanzanite bridge South Korea hawakuomba tender mbona wako vizuri tu? Hatukusikia wakipigiwa kelele labda kule kwenye ujenzi wa meli ndio walitaka kuharibu,ila baada ya mkwara wa PM naona wamesort out tatizo.
 
Back
Top Bottom