7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2238168
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2238168
Kwahiyo mwalimu wako ndio kakufundisha hvyo? Mna safari ndefu sn.Yes, if you fail to proceed to secondary school you are a primary school dropout.
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah hawa jamaa ni wajinga sana wallahi.Unaweza kuniletea ushahidi kwamba hizo ni secondary schools?
View attachment 2238351View attachment 2238352View attachment 2238353View attachment 2238354View attachment 2238355View attachment 2238356View attachment 2238357
Utadhani ni Mtwara hapa Manispaa, au kuna picha nyingine bado hazionekani hizi ni za pembezoni mwa mji?[emoji846][emoji846]Sychelles capital [emoji116][emoji23][emoji23][emoji23] .. it is said to be a rich country in AfricaView attachment 2238205
Wewe primary school dropout ukona very low IQ. 🤣 🤣 🤣 Mimi nikuje Tanzania kuona watoto wadogo wakiendesha tingatinga, are you out of your mind.Na ndio maana miradi yenu yote mchina ndio anafanya kila kitu, njoo Tanzania uone watoto wadogo wana operate heavy duty machines mpaka mchina anashangaa, go to our mining sites, all machines are operated and attended by young locals kama wamezaliwa nazo vile 😅😅😅😅
Vipi soja, pia wewe ni primary school drop out.Kwahiyo mwalimu wako ndio kakufundisha hvyo? Mna safari ndefu sn.
Nasubiri mtu aseme ka Nairobi kanaizidi Dar kwa miti.
Kuna kisa nimekisoma jana eti askari wa GSU alikuwa anatoka matembezi usiku akiwa na wanawake wawili,ghafla wakatokea majambazi wawili wakiwa na pikipiki wakataka kuwapora akaanza kupambana nao, wanawake wakatimka mbio.Kwanza hamfai hata kusema mnalo jeshi, si ndio nyie jeshi lenu lilizidiwa na alshababu wanne mkaishia kuiba na kulipua ile mall[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa ndio Wenyewe siyo wale wenu GSU tena mkufunzi ametimua mbio kwa jambazi mwenye panga, ni kwasababu hamna mazoezi yenye kuleta uvumilivu na ustahimilivu. Ni aibu kubwa mno Komandoo kumkimbia mtu mwenye panga ,mna mafunzo ya kimdebwedo na kufukuza upepo ndio maana aliweza kutimua mbio mpaka kambini kuwaita wenzake waje wamsaidie.Wazee wa kupasua tofali kifuani na kukanyagana vifuani
View attachment 2238261
Kwaiyo huo ndio ushaidi, waziri wenu akiongea ndio ushaidi unaleta hapa, km sikuiyo ameropoka kwa pombe zake...leta ushaidi sio blabla
Sufuria la nini kwao au vitu vya kupikia kwasbabu watafika mahali na kuiba, nidhamu hovyo kabisaaa.Mda mwingine na ww acha ujinga, katika vyote alivyo beba sufuria ndio kitu umeona au ndio kuonyesha jinsi gani kunya ni njaa kali
Tunaongoza Africa.
Unaelewa ulichokisema?Miti ya Dar haina mpangilio imejiotea tu na kuchanganyika na nyumba, Nairobi kuna eneo maalumu kabisa kwa ajili ya Miti tu nimefika wanaaita Nairobi arboretum, Dar hatuna hata Public Park ya maana Mnazi mmoja imepigwa kufuli ile ya Gymkhana wanacheza Golf!
Me nimewapa kisa cha jana kilichomtokea askari wao.Hayo mapanga mtakatajwe na mkisikia risasi wote mnatokomea kusiko julikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], umesahau wale wazungu walivyo walalamikia wanajeshi wa kikunya wote ni wanariadha sio wanajeshi bada kusalimiwa na alshabab kambini kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie ni mafiiii kabisa no wonder ndio chakula pendwa huko
Point yangu mkuu ni kipindi cha mwenda zake pamoja na jitiada zote , lakini hawa imf na wb ni kama walikuwa hawa except kinachonfanyika, na tuliongea hapa mwaka jana kwamba kwa style ya mama tegemea GDP yetu kukuwa kwa kasi, point sio kwamba ndio imekuwaa hapana ilisha kuwa ila wao waligandisha kwa makusudi,ndio mana hata hesabu zinagoma, alafu iyo 77bill sio prediction ni outlook ya april, inamana kwa sasa uchumi wetu ni 77 as for aprilHii Budget kwenye sector za barabara its just shit..mwaka mzima tunajenga lami almost 600km apart from barabara za zege na BRT unless nmesoma vibaya...
Plus nmeona argument yako ya GDP..
Nakumbuka niliwahi kuuliza sana hili swala skyscrapper city forum kuna kipindi %growth ya kenya haikuendana na GDP yao . iliongezeka kama kwa 10billion hivi instead of 6 to 7 billion..i was so suprised ..hizi hizi
Anyways hizi ni projection za IMF Tz GDP is around 71 to 72bil usd ...kama tukienda sambamba na rate ..ya mwaka jana ya 4.8%
77 ni projection ya this year ...
Plus kuna factrors zinazoweza kupeleka rapid GDP growth and thats why i trust data za IMF at point
1.FDI ikikua ghafla na kwa samia FDI tu mwaka jana imekuwa by 5bil usd i think
2.Remitance
3.Oil kupanda au kushuka (mfano angola au nigeria
4.Stability ya Currency against USD incase of Tz Dola imecheza 2300 kwa kama 5 good years our currency is one of most stable in africa..si shangai kwann governor wetu yuko top 3 among the best in africa ..
tuusan @Simba254 Tony254 @ dyfre chongchung View attachment 2238375
Watu wenyewe wanadhani jua linazunguka tu pale kwao unafikiri hata wanajua yanayoendelea maeneo mengine? [emoji1787]
Angalia Number. 44, 45 na 46 vyote ni vifaaa vya Jikoni( Kuhakikisha mkulungwa anapiga msosi popote alipo)
Na huyo ndio the ONLY ONE [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenye elimu yake.
View attachment 2238303
Hii ikifanikiwa itasaidia watoto wengi.You can even see the presidency in him