chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,318
- 45,127
Wanauliwa anawaua nani?Kwani wale wanauliwa mtwara sio watanzania?
Wanauliwa anawaua nani?Kwani wale wanauliwa mtwara sio watanzania?
Hayo mapanga mtakatajwe na mkisikia risasi wote mnatokomea kusiko julikanaLakini jeshi letu haijaikatwa katwa Kwa mapanga . Are you aware that your army were killed using pangas in DRC?

























, umesahau wale wazungu walivyo walalamikia wanajeshi wa kikunya wote ni wanariadha sio wanajeshi bada kusalimiwa na alshabab kambini kwenu




nyie ni mafiiii kabisa no wonder ndio chakula pendwa hukoUnabahatisha ,ilikua $69Bsi ya last year ama.?... ama ilikua 65.. around tu hapo
Wakunya ninyi mnachakazwa na wavaa kobazi haya mambo hamyaweziWazee wa kupasua tofali kifuani na kukanyagana vifuani
View attachment 2238261
Ukusanyaji wa kodi unategemea na taasisi makini ya ukusanyaji kodi, TRA inapoteza karibia asilimia 90% ya kodi inayotakiwa kukusanya kwa mwaka, kwa uchumi wa Tanzania kama TRA itakuwa efficient kwa kutumia njia za kisasa katika kukusanya kodi basi Tz haitategemea mikopo kutoka afdb au mabeberu.alafu mnaokota kodi < ya $10B kwa mwaka Acha maneno kk
Mbona unawapiga ngumi nzito nzito mkuu









OK.. I like tht... so let's do the math.!Unabahatisha ,ilikua $69B
Ivi mkuu unajua kuwa Tz ndio nchi ya pili kwa idadi kubwa ya ng'ombe Afrika? Lakin sinaa uhakika hata kama tuna fikia 2% revenue kutokana na ng'ombe kuanzia maziwa, nyama mpka ngozialafu mnaokota kodi < ya $10B kwa mwaka Acha maneno kk
Sasa hizi sehem nyingine waweke design tofauti sio mabey kila kona, ili kupata vitu bora zaidiiii



mwenye elimu yake. Na unasema tu bila aibu vile mkona over 50 % primary school drop out while sisi tunafanya 100% transition. College ni tertiary level na inapaswa kua the next level of education after secondary or high school. hahaha wewe pia ni primary school dropout kulingana na vile hua unatoa hoja za kijinga hapa.We mpumbavu kweli, Watanzania wengine wakimaliza primary wanaenda kwenye vocational training colleges, sio wote wanaenda secondary schools
Ndio maana pamoja na hivyo tupo juu yenu kielimu
View attachment 2238269View attachment 2238270View attachment 2238271
Akili zao ndogo, kunyaland hawajawahi kupigana vita yoyote, tusiwashangae 😅😅😅Watu wenyewe wanadhani jua linazunguka tu pale kwao unafikiri hata wanajua yanayoendelea maeneo mengine?
Angalia Number. 44, 45 na 46 vyote ni vifaaa vya Jikoni( Kuhakikisha mkulungwa anapiga msosi popote alipo)
Na huyo ndio the ONLY ONEmwenye elimu yake.
View attachment 2238303
Unajua maana ya dropout lakini?Na unasema tu bila aibu vile mkona over 50 % primary school drop out while sisi tunafanya 100% transition. College ni tertiary level na inapaswa kua the next level of education after secondary or high school. hahaha wewe pia ni primary school dropout kulingana na vile hua unatoa hoja za kijinga hapa.
View attachment 2238316
🤣 🤣🤣 Noma sana mkuu.Akili zao ndogo, kunyaland hawajawahi kupigana vita yoyote, tusiwashangae 😅😅😅
Yes, if you fail to proceed to secondary school you are a primary school dropout.Unajua maana ya dropout lakini?
😅😅😅😅 Kwahiyo hawa ni dropouts?Yes, if you fail to proceed to secondary school you are a primary school dropout.