Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama ni hivyo na wana kinga.. kwanin wanamuogopa Rais ambae yupo madarakan.. yan kuongea maovu/ufujaj mali anaofanya huyo Rais.. akiondoka ndo unaambiwa huyu ali fanya hiv na hiv..alipokuwa madarakan hawasemi.. nilijua hawasemi kwasababu anajua Rais atamuondoa
Hilo ni tatizo la viongozi wetu, kwa ujumla viongozi wetu ni watu wa kujipendekeza kwa wakubwa zao ili kulinda vyeo vyao, zaidi ya 90% ya viongozi wetu wa ngazi mbalimbali hawana uwezo katika nafasi zao, wengi hutegemea huruma za wakuu wao ili kubaki katika nyadhifa zao, njia pekee ni kujipendekeza na kusifia rais aliyepo madarakani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Usanifu munjarabu kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-212915.png
    Screenshot_20220524-212915.png
    204.3 KB · Views: 31
Kwa ushauri tuu , huu ujinga na upupu ulio weka hapa kawaonyeshe wakunya wenzio ili kuwapa moyo...
Na ukweli ndio huuu, [emoji116]..ivi unajua hata viwanda vilianzia British, lakini wengine wakafanya copy and peste na kuupgrade...
Screenshot_20220524-212047.jpg
Screenshot_20220524-212106.jpg
Screenshot_20220524-212358.jpg
Screenshot_20220524-212641.jpg
Screenshot_20220524-212713.jpg
 
Tanzania biggest,most beautiful and most efficient bus stations👇Dar View attachment 2237097View attachment 2237099View attachment 2237100View attachment 2237101Dom 👇View attachment 2237109View attachment 2237112 Mwanza 👇View attachment 2237113View attachment 2237114View attachment 2237116View attachment 2237121View attachment 2237124Morogoro bus terminal 👇View attachment 2237133View attachment 2237134Mpanda bus terminal 👇View attachment 2237135View attachment 2237136sumbawanga bus terminal 👇View attachment 2237141iringa bus terminal 👇View attachment 2237149Tanga bus terminal 👇View attachment 2237151View attachment 2237155,and the numbers go on.. Beautiful bus stations under construction currently👇
1. Nyegezi bus terminal (Mwanza)
2. Moshi bus terminal (Kilimanjaro)
3. ARUSHA bus terminal (ARUSHA)

Yo kenyas you are allowed to pick a random bus station of ours to compare with your so called ultra modern, state of art, international standard bus station of Green Park
Ongezea Njombe bus Terminal
 
wabongo, najua hii ni uchungu sana.😖😖😖 ila mtakuja tu kuzoea

mtanunua tu yenu skumoja. mzidi kushikilia imani.. mtakuja kuonekaniwa..

sddefault-5.jpg
CWMD-certif-hero-190307-M-MI258-112-Copy.jpeg
 
Back
Top Bottom