Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Chenga za mcheleAnd I answered just that you dint understand. Tanzaniabreal GDP is not 77b for now the 77 is just a projection
Chenga za mcheleAnd I answered just that you dint understand. Tanzaniabreal GDP is not 77b for now the 77 is just a projection
GDP ya Tz ni $150b, itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200b hapo ni makadirio ya chini tu mana miradi ya kimkakati itakuwa ishaanza kujibu.In that case you didnt learn a thing about Tzanian, Last year our GDP were around 65 bill and our growth rate were around 4% kindly explain it to me how did we endup with 77bill as par april this year? Kama sio tuna chezewa hapa .
Huu ndio ujinga sasa....
Umeongea point kubwa sana,wanapitia haya maandiko wanaishia kuuma meno kwa hasira na kugonga meza hawatayafanyia kazi labda Rais aseme atawafukuza kazi hapo ndipo utawaona na vitambi vyao wanafoka mate hadi yanawatoka mdomoni utafikiri koboko yuko hatarini. WANAUDHI HAWA WATU SI MCHEZO.Mi nadhani kuna options nyingi tu za kutuwezesha kupima viwanja vya makazi, taasisi na hata viwanda katika majiji na miji ya nchi yetu bila hata kutegemea wahisani au mikopo kutoka nje ya nchi. Kwa mfano, halmashauri za miji na majiji kama sheria inaruhusu zinaweza kuingia ubia na taasisi za kifedha, makampuni au hata watu binafsi (PPP) kwa ajili ya kupima viwanja na kupanga miji yetu. Pia kama utaanzishwa utaratibu mzuri na usiotilia shaka watu wanaweza kulipia viwanja in advance ili kuweza halmashauri za miji au majiji kuweza kupata fedha ili ziweze kupima eneo linalohusika. Sijawahi kuona viwanja vilivyopimwa na serikali vikakosa wateja. Tatazo ni ukiritimba na wizi na kujimilikisha viwanja kwa watumishi wa ardhi wa miji na majiji na baadye kuviuza kwa bei ya juu. NADHANI WATUMISHI WA UMMA WENGI WANAFANYA KAZI KWA MAZOEA WITH NO CREATIVITY AT ALL!
Apo kidgo sawa...walisha anza kuni kera tenaWamesema vitakuja kwa awamu.. vipo vitakavyokuja Mei. Lets keep waiting
View attachment 2238079
Tumewazidi kdg ila mnazaliana kama nzi ndiyo maana mnatuzidi kwa idadi ya infants, itakapofika mwaka 2030 mtakuwa na population mara mbili ya sisi.Nyie ni wengi kutushinda. Sisi tuna wanafunzi wengi wa shule ya msingi na upili kwa sababu Wakenya wanasoma sana kushinda Watanzania. Huo ndio ukweli japo ni mchungu.
Mkuu umwage kwa pamoja tupitie
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii threadMnasoma sana kushinda Watanzania yet mpo chini yetu kwenye literacy rate?
We jamaa akili yako finyu sana yet ndio most learned Kenyan here!
View attachment 2237911View attachment 2237912View attachment 2237913







Wakati huku kwetu ni basic need tunatumia kutolea hangover 😀Unaweza kuta wakunya wa humu tangu mwezi uanze hawajala kuku.![]()
Noma na nusuPitia hapa mkuu.. then click document ya kwanza kbsa hapo
MWT | Machapisho
www.mwt.go.tz
These are bomb diffusing and disposal robots. I don't expect you to know such juu hamna 😂. Hizi huwa mnaona tu kwa Tv.You mean toys?
Umeongea point kubwa sana,wanapitia haya maandiko wanaishia kuuma meno kwa hasira na kugonga meza hawatayafanyia kazi labda Rais aseme atawafukuza kazi hapo ndipo utawaona na vitambi vyao wanafoka mate hadi yanawatoka mdomoni utafikiri koboko yuko hatarini. WANAUDHI HAWA WATU SI MCHEZO.

Jiulize ikiwa elimu ya msingi na sekondari Tz inatolewa bure na almost 99% ya watoto wote wenye umri wa kwenda shule ya msingi wanakwenda, je inakuwaje mtuzidi idadi ya watoto wanaokwenda shule ilihali kwenu elimu co bure? Yani maana yake kuna wanafunzi wengi wa maskini hawajaenda shule lkn bado mnatuzidi. Mnazaliana sana wallahiHuyu Mtanzania alikataa kabisa kukubali kwamba Wakenya tunasoma sana kushinda Watanzania japo idadi ya Wakenya ni ndogo mno kushinda idadi ya Watanzania. Nyie mnazaliana kama panya ila mumekataa kusomesha watoto wenu wote. Hio ndio sababu idadi ya wanafunzi wa Kenya wa shule ya msingi na upili ni ×2 ya wanafunzi wa Tanzania.



tuusan.... heb ona.... gdp ya kenya ni $114b because if gdp grew by 7.5% last year, then:Kenya pia sio $114B
Hebu lete risiti uliyolipa kwa kutumia Xpress way cku ya juzi.Mimi sizungumzii vitu nisivyovijua. Watu wanalipa pesa ili kutumia hili barabara. Mimi naishi Nairobi na wewe huwezi kunifunza mambo ya Nairobi. Hii route ya expressway naitumia sana sasa wewe hunifunzi mambo ambayo ninayafahamu. Wewe jikite kwenye mambo ya Dar is a Slum.
Elimu ya msingi ni bure Kenya. Kibaki alileta elimu ya bure Kenya mwaka wa 2003. Yaani wewe naona hujui lolote kuhusu Kenya.Jiulize ikiwa elimu ya msingi na sekondari Tz inatolewa bure na almost 99% ya watoto wote wenye umri wa kwenda shule ya msingi wanakwenda, je inakuwaje mtuzidi idadi ya watoto wanaokwenda shule ilihali kwenu elimu co bure? Yani maana yake kuna wanafunzi wengi wa maskini hawajaenda shule lkn bado mnatuzidi. Mnazaliana sana wallahi![]()
Real EOD sio hizo toysThese are bomb diffusing and disposal robots. I don't expect you to know such juu hamna 😂. Hizi huwa mnaona tu kwa Tv.
View attachment 2238163View attachment 2238164View attachment 2238165
Onesha risiti ya juzi.expressway inalipiwa huwezi pita bure. Toll fee zilisha Anza lazima either you register for the Umoja card au upewe the RFID chip or pay with cash or mpesa at the exit