Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua rate ya kuzaliana kati ya Wakenya na Watanzania? 😂😂😂

Leta primary students admission Kenya then njoo to Tanzania the difference is 350k 😂😂😂

Sasa nani wanazaliana kama panya? Bado Tanzania is two Kenyas and Kenya depends on Tanzania for everything 😂😂😂😂
Nyie ni wengi kutushinda. Sisi tuna wanafunzi wengi wa shule ya msingi na upili kwa sababu Wakenya wanasoma sana kushinda Watanzania. Huo ndio ukweli japo ni mchungu.
 
Payment system ndio shida. Watu kulipa kwa cash ndio inaleta hili tatizo. Once most drivers acquire their ETC or their cards then there will be no traffic jam there.
Hapo hakuna malipo, hiyo road ipo kwenye uzinduzi so wanapita bure kuwavutia washamba.
 
Nyie ni wengi kutushinda. Sisi tuna wanafunzi wengi wa shule ya msingi na upili kwa sababu Wakenya wanasoma sana kushinda Watanzania. Huo ndio ukweli japo ni mchungu.
Mnasoma sana kushinda Watanzania yet mpo chini yetu kwenye literacy rate? 🤣🤣🤣🤣

We jamaa akili yako finyu sana yet ndio most learned Kenyan here! 😂😂😂

images (29).jpeg
images (4).png
images (3).png
 
Hamjapata the point I brought this up .. Ni vile guys were saying expressway haitatumika.... But to many surprise most people prefer paying to an extent kumekua Na traffic
Hakuna aliyelipa hapo, wote wamepita bure hao, toll fee zikianza hutoona gari hapo au labda mbili au tatu per day.
 
Mambo ya international relations hayaendi hovyo hovyo ukae ukijua hilo haya mambo hufanywa kwa mikataba bilateral you may have agreement kushirikiana na Seychelles kwenye mambo ya security au criminal matters while sisi hatuna nao mkataba kama huo. It is more of a diplomatic gesture than the ability to assist.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hahaha nyie hamna lab kama hii ambayo sisi tumezindua miezi miwili iliyopita. Hata sisi hatukuwa na lab ya hali ya juu kama hii. Hebu soma hio article vizuri.
 
You wount have that issue if you stop mixing real GDP with projections
Have you understood his question, or you don't know how real GDP is calculated?. There is nor projection here.

What he has asked is: If Tanzania's GDP last year(2020) was $65B, and it's Economy grew by 4% in 2021, how come Tanzania's GDP is $77B?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yah open space where guys have fresh air from vehicle fumes not Tanzania in the name of impressing the daft population they make an enclosed bus park.... Who even thinks for this guys
Hapa unajitia ushujaa baadaye unaenda kulilia twitter, we jamaa bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Why would you compare a bus park/ stage to an airport? When taking a bus in 15minutes you have arrived to your destination why all the fuss???
It is true speaking from Kenyan experience but here down south things are different our bus parks are comparable to most international airports in this region.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya mwisho ya utawala wa JK TBL ndio ealikua wanaongoza kwa kodi...sahv game imechange
Kweli mzee. Ila kwenye madini wakaze sana bado tunayo nafasi ya kuvuka lengo ndani ya mwaka mmoja. Kuna mgodi wa Sengerema wa dhahabu hivi umeshaanza uzalishaji?
 
Yani jinsi Watz wanavyopenda kula kuku ukichukuwa idadi ya wanaokula kuku Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Kenya ×2 haifikii idadi ya wanaokula kuku Tz, Africa bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni dalili ya uwezo mzuri wa kipato kwa watanzania, Kama zitakuja data za Nchi inayoongoza kwa kula sukuma wiki, sidhani Kama Tanzania tutashika hata namba 4

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanazaliana mno kama panya

Tanzania elimu ya msingi mpaka o level secondary ni bure na hakuna mtoto mwenye umri wa kuwa shule asipelekwe shule lakini cha kushangaza idadi ya wanafunzi wa primary schools in Kenya ni wengi almost mara 2 ya Tanzania

Hii inatoa picture, Kenya Wanazaliana mno na idadi yao ni kubwa.
Huyu Mtanzania alikataa kabisa kukubali kwamba Wakenya tunasoma sana kushinda Watanzania japo idadi ya Wakenya ni ndogo mno kushinda idadi ya Watanzania. Nyie mnazaliana kama panya ila mumekataa kusomesha watoto wenu wote. Hio ndio sababu idadi ya wanafunzi wa Kenya wa shule ya msingi na upili ni ×2 ya wanafunzi wa Tanzania.
 
One thing they don't know is to get the context or the purpose of a post when someone posts it . They always take it out of context completely to suit their argument
Ni ushamba kusifia traffic jam nyie Wakunya sijui mkoje hata vitu havifai kusifia mtasifia tuu alimradi muwe juu inasikitisha sana. We all know negative consequences of traffic jams.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom