Dah...Kila siku wanasogeza mbele,utadhani hawana mawasiliano na manufactures...
Wamesema vitakuja kwa awamu.. vipo vitakavyokuja Mei. Lets keep waitingDah...Kila siku wanasogeza mbele,utadhani hawana mawasiliano na manufactures...
Always ahead of TZ
Noma mzee [emoji1][emoji1][emoji1]Apo nmeweka bm27 mb30 A100 sjaweka bm21 ya enzi za maumau ambazo wanazo chini ya10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haiyaa? Ona huyu wazimu? Unaongea matope kuhusu Seychelles the richest country in Africa? Eti hawawezi kuafford services za TZ? Aliyekuroga kafa.
Kenya pia sio $114BTanzanian GDP is not $77B.
Nimeikubali pia
Hapana me naona uko sawa,umeongelea kwa mtazamo wa kibiashara zaidi kwa fursa zilizopo katika Ziwa Viktoria na Tanganyika. Ila akina Geza wakaongelea kitaalamu kwanini haiwezekani kutengeneza meli kubwa zaidi.Wananipinga kwa sababu mimi ni Mkenya. Kwenye hii site Mkenya hata akiandika wazo nzuri atapingwa tu.
Tupatie huu mkeka wote niupitie
angalia vizuri hiyo ni drone ndani ya suitcase na mwengine ameshika joystick pad trying to pull the antenna!Oya wacha mchezo. Ninezoom sijaona chochote zaidi ya huyo mwanajeshi kabeba ndizi kwenye suite case ya black.
Ona jinsi unavyo display your stupidity here! Soma tena hapo juu[emoji115]maelezo yako then ujifanyie self evaluation on your thinking capacity.Wewe keyboard warrior mshamba tulia, you know nothing about drones. Hio wameshika ni zile drone za vloggers. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Halafu nilimaanisha kuwa kuna mambo mengine mnajuana bwana kwenye mikataba ya ulinzi, kwenye weledi na kwenye udhaifu,mimi ni unrogecable mkuu [emoji39][emoji39][emoji39]Haiyaa? Ona huyu wazimu? Unaongea matope kuhusu Seychelles the richest country in Africa? Eti hawawezi kuafford services za TZ? Aliyekuroga kafa.
I get your concept mkuu.Here you go again yaani nakashifu kitu Tena unarudia hapo hapo. Hakuna aliye sifia traffic Jam, wanaokimanya Kiswahili nisaidie kueleza huyu. Nasema lazima uelewe mkthadha (context) ya sababu ya dondoo kupostiwa. Kwa mfano hapo niliposti traffic jam Kwa express way kukanya walio kuwa wanasema expressway watu hawatalipia. Na Kwa Sasa watu wanalipia Kwa wingi Hadi inakua Na traffic kinyume Na ilivyo pangiwa