Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hako ni katoto ka drone. Hakawezi kufanya chochote zaidi ya surveillance. Kuna aina mbili za military drones, surveillance drone na combat drone. Kenya na Tanzania hatuna combat drones japo tuna surveillance drones. Combat drone ni drone inayobeba missiles kama vile Bayraktar TB-2. Ethiopia wanayo TB-2.
20220525_113846.png
20220525_114446.png
20220525_113949.png


Mbona hatujitapi?
 
China watakuuzia makaratasi ambayo ukienda vitani kabla adui hajafika yanaanza kuchanika yenyewe.Hakuna kitu Bora kutoka China labda vyombo vya udongo na vile ambavyo ni western Licenceee.Wachina wanapenda kupata tu pesa cheaply
Mkuu izo ni propaganda tuu karbia kila kitu wanachotumia wazungu kinatoka china mfano mdogo tuu kampuni ya apple inatengeneza bidhaa zake zote china ata kabla ya kuuamisha assembling plant yao china suppliers wao wakubwa wa components walikua wachina, sasa iyo ni apple tuu bado tesla, toyota na makampuni mengine kubao
 
China watakuuzia makaratasi ambayo ukienda vitani kabla adui hajafika yanaanza kuchanika yenyewe.Hakuna kitu Bora kutoka China labda vyombo vya udongo na vile ambavyo ni western Licenceee.Wachina wanapenda kupata tu pesa cheaply
Gun powder iliyotumika kutengeneza risasi na hatimaye wazungu kuweza kuteka na kuitawala dunia, ni Chinese invention.
 
Hizo meli mbili unaona kama zinatosha? Just be honest. Ongea kwa uwazi. Sio mambo ya battle hapa. Mizigo za DRC na UG ni nyingi sana na zitazidi kuongezeka kila mwaka. Ila kama unahisi hizo meli mbili kubwa zinatosha basi ni sawa. Nchi ni yenu.
Sielewi kwa nini watu wanakupinga mawazo yako
 
Ni uchaguzi tu.Unaweza kwenda kununua mahitaji yako ukajikuta unaingia duka ambalo halina hadhi kama ambalo liko jirani yake kwa kuwa huna hadhi ya kuingia katika hilo duka lenye vitu classic ambavyo ni bei ghali kwa mfuko wako. Si unajua tena wafu huzikana!??
Haiyaa? Ona huyu wazimu? Unaongea matope kuhusu Seychelles the richest country in Africa? Eti hawawezi kuafford services za TZ? Aliyekuroga kafa.
 
In that case you didnt learn a thing about Tzanian, Last year our GDP were around 65 bill and our growth rate were around 4% kindly explain it to me how did we endup with 77bill as par april this year? Kama sio tuna chezewa hapa .
Tanzanian GDP is not $77B.
 
Hakuna aliyelipa hapo, wote wamepita bure hao, toll fee zikianza hutoona gari hapo au labda mbili au tatu per day.
expressway inalipiwa huwezi pita bure. Toll fee zilisha Anza lazima either you register for the Umoja card au upewe the RFID chip or pay with cash or mpesa at the exit
 
Have you understood his question, or you don't know how real GDP is calculated?. There is nor projection here.

What he has asked is: If Tanzania's GDP last year(2020) was $65B, and it's Economy grew by 4% in 2021, how come Tanzania's GDP is $77B?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
And I answered just that you dint understand. Tanzaniabreal GDP is not 77b for now the 77 is just a projection
 
It is true speaking from Kenyan experience but here down south things are different our bus parks are comparable to most international airports in this region.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
A very wrong approch since bus emitions are very dangerous to human and hence an open park is advisable. When making such things your designers used to throw away logic to impress the king with no cloths. Too bad he is dead now
 
Hivo ndo wanaji console

During this time of campaigns people try as much as possible to divert/twist the message but you should know better. Gachagua can't be that dumb, propaganda is the norm of the day...i watched a clip the other day where a politician spoke in mother tongue and then it trended...the translation was laughable especially if you speak the language
I will never defend a politician. NEVER.
 
A very wrong approch since bus emitions are very dangerous to human and hence an open park is advisable. When making such things your designers used to throw away logic to impress the king with no cloths. Too bad he is dead now
 
Ni ushamba kusifia traffic jam nyie Wakunya sijui mkoje hata vitu havifai kusifia mtasifia tuu alimradi muwe juu inasikitisha sana. We all know negative consequences of traffic jams.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Here you go again yaani nakashifu kitu Tena unarudia hapo hapo. Hakuna aliye sifia traffic Jam, wanaokimanya Kiswahili nisaidie kueleza huyu. Nasema lazima uelewe mkthadha (context) ya sababu ya dondoo kupostiwa. Kwa mfano hapo niliposti traffic jam Kwa express way kukanya walio kuwa wanasema expressway watu hawatalipia. Na Kwa Sasa watu wanalipia Kwa wingi Hadi inakua Na traffic kinyume Na ilivyo pangiwa
 
Back
Top Bottom