Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio ndio drone yenu ya kijeshi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwani hao ni kinanani? Kwani wanapika githeri hapo?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Oya wacha mchezo. Ninezoom sijaona chochote zaidi ya huyo mwanajeshi kabeba ndizi kwenye suite case ya black.
20220525_112159.jpg

Ata mie naona ndizi👆😅😅
 
Hapo hakuna malipo, hiyo road ipo kwenye uzinduzi so wanapita bure kuwavutia washamba.
Mimi sizungumzii vitu nisivyovijua. Watu wanalipa pesa ili kutumia hili barabara. Mimi naishi Nairobi na wewe huwezi kunifunza mambo ya Nairobi. Hii route ya expressway naitumia sana sasa wewe hunifunzi mambo ambayo ninayafahamu. Wewe jikite kwenye mambo ya Dar is a Slum.
 
Oya Malazy mnaoidharau Kenya. Serikali ya Ushelisheli imekimbilia Kenya na kuomba msaada wa Directorate of Criminal Investigation (DCI) kuchunguza kesi ya uhalifu iliyowashinda kuchunguza. Mbona serikali ya Seychelles hawakukimbia kwenu kuwaomba msaada?
Ni uchaguzi tu.Unaweza kwenda kununua mahitaji yako ukajikuta unaingia duka ambalo halina hadhi kama ambalo liko jirani yake kwa kuwa huna hadhi ya kuingia katika hilo duka lenye vitu classic ambavyo ni bei ghali kwa mfuko wako. Si unajua tena wafu huzikana!??
 
View attachment 2237939
Ata mie naona ndizi👆😅😅
Sasa hako ni katoto ka drone. Hakawezi kufanya chochote zaidi ya surveillance. Kuna aina mbili za military drones, surveillance drone na combat drone. Kenya na Tanzania hatuna combat drones japo tuna surveillance drones. Combat drone ni drone inayobeba missiles kama vile Bayraktar TB-2. Ethiopia wanayo TB-2.
 
Mambo ya international relations hayaendi hovyo hovyo ukae ukijua hilo haya mambo hufanywa kwa mikataba bilateral you may have agreement kushirikiana na Seychelles kwenye mambo ya security au criminal matters while sisi hatuna nao mkataba kama huo. It is more of a diplomatic gesture than the ability to assist.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nilitaka nimjibu kama wewe ila nikatumia njia nyingine rahisi sana huenda atakuwa amenielewa.
 
JICA ni partners wazuri sana kwenye mambo ya upanuzi wa bandari na kuchora masterplan na kufadhili ujenzi wa bandari. Wao ndio wafadhili wakuu wa Mombasa port. Mna bahati mmepata hawa wafadhili katika port ya Kigoma. Hizi port zenu za Mwanza na Kigoma zinastahili kupanuliwa kabisa kwa sababu bado ni ndogo sana. Pia mnastahili kujenga meli nyingi kubwa kubwa kwenye ziwa Victoria na Tanganyika. Mimi najua mnajenga meli kubwa moja pekee katika ziwa Victoria.
Mnastahili kujenga meli kama tano kubwa ndani ya ziwa Victoria na nne kubwa ndani ya ziwa Tanganyika. Kisha muwashinikize majirani wenu pia wapanuwe port zao. Hio itafanya biashara yenu na DRC na nchi zingine kudouble au kutriple. Potential mnayo kubwa lakini kwa maoni yangu sioni kama mnainvest ya kutosha kwenye upanuzi wa mabandari na ujenzi wa meli kubwa katika haya maziwa mawili. Japo tangu wakati wa Magufuli angalau mumeanza kuivest kwenye inland ports na meli, nadhani kabla ya Magufuli marais wa awali walikuwa wametelekeza ujenzi wa hizi inland ports. Ni maoni yangu tu.
Iyo ndo ilikua ndoto ya jpm ila ndo hivyo sasa mwamba kashalala ila mama anajaribu kupita mule mule ila sasa viatu vikubwa
 
Have you understood his question, or you don't know how real GDP is calculated?. There is nor projection here.

What he has asked is: If Tanzania's GDP last year(2020) was $65B, and it's Economy grew by 4% in 2021, how come Tanzania's GDP is $77B?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ungepunguza kiherehere. Ujuwe hio $77 billion ni projection ya IMF ya uchumi wa TZ wa mwaka huu wa 2022. Wewe hukuwa huku tulipokuwa tunajadili hili swala na akina tuusan, pengine hukuwa na pesa ya bundle wakati huo. Kwa hivyo ungekaa kimya tu. IMF ilitoa projection ya 2022 na ikasema by the end of this year, uchumi wa TZ inakuwa projected kwamba itafikia $77 billion.
 
Have you understood his question, or you don't know how real GDP is calculated?. There is nor projection here.

What he has asked is: If Tanzania's GDP last year(2020) was $65B, and it's Economy grew by 4% in 2021, how come Tanzania's GDP is $77B?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee naomba hapo ufafanuzi vigezo vinapimwaje, kama hautajali lakini na kwa njia rahisi kabisa ili nielewe.
 

Samia: How Tanzania used IMF, AfDB loans to improve livelihoods​

WEDNESDAY MAY 25 2022​



Tanzanian President Samia Suluhu Hassan.

A screengrab of a video showing Tanzanian President Samia Suluhu Hassan speaking in Ghana on May 24, 2022 at the Annual Meetings of the African Development Bank. VIDEO | COURTESY via IKULU, TANZANIA


General Image

By AGGREY MUTAMBO
More by this Author

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has defended her usage of loans from multilateral lenders, telling an audience in Accra that the institutions were her country’s lifeline in the Covid-19 pandemic.

Samia, appearing on a panel alongside Presidents of Ghana, Mozambique and the Comoros, said the loans received from the International Monetary Fund (IMF) and the African Development Fund (AfDB) helped her stabilise the economy, improve the quality of learning environment and expand the reach of clean water supply.

“With the support of the AfDB and other multilateral lenders, I have done well,” she told an audience on Tuesday during the Presidential Dialogue on Africa’s Development challenges and opportunities, part of the Annual Meetings of the AfDB this year in Ghana.

Covid funds​

“Due to Covid-19, IMF gave us some money as economic bailout. Most of the countries used that money for purchasing sanitisers and those [other] items needed to fight Covid-19. But for me, I thought Covid-19 meant decongestion of students in the classroom.

“[We] had 110-120 pupils in one classroom. I have been able to decongest them and now I have 45-50 pupils in one classroom. I thought Covid-19 means availability of water, I have taken that money and used it for supplying clean and safe water to most parts of my country. When I came in, availability of water was 72 percent and I have moved it close to 80 percent. I am expecting, in 2025, it will be 95 percent in urban areas and 85 percent in villages.”

Tanzania, like several African countries, was hit hard by the Covid-19 pandemic. Tanzania’s economy shrunk from 6.8 percent growth to 4 percent after Covid-19, even though the country, unlike its neighbours, did not go on a lockdown and did not initially order compulsory mask wearing, nor tap into vaccines. But after Samia was sworn in as president in March last year following the death of her predecessor John Pombe Magufuli, she made changes, including calling for citizens to take up preventive measures, such as mask wearing and hand hygiene, to curb the spread of Covid-19.

Nonetheless, the country drew benefits from multilateral lenders keen to aid a response to Covid-19.

Covid response​

Under the Crisis Response Budget Support Programme, the AfDB disbursed $50.7 million loan in 2020 to aid response measures, including strengthening health systems and emergency responses.

And after President Samia came to power in March 2021 and Tanzania agreed to share data on Covid-19, as well as coordinate response with international bodies, the IMF Executive Board approved a $265.2 million in Special Drawing Rights (SDRs), equivalent to about $372.4 million. Given under the Rapid Credit Facility (RCF), the money was meant to aid Tanzania’s balance of payments as the country faced a shortage of revenues.

The IMF said at the time that the money was also to help catalyse support from development partners to support Tanzania, if it strengthens governance and transparency around the pandemic.

 
Back
Top Bottom