Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hapo ndio huwa nashangaa, nimempa ushahidi kutoka mpaka UN kwamba Tanzania ipo mbele yao kielimu, anasema haiziamini hizi statistics 😅😅😅

images (29).jpeg
images (3).png
images (4).png
 
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wengi humu wamesoma sana hata kunishinda, sema tu bado hawajaweka wazi vyeti vyao. Kumbuka hakuna Mtanzania isipokuwa wewe aliyewahi kuweka vyeti vyake humu. Kwa hivyo pia nyinyi hamjasoma? Au unamaanisha nini? Sio kila mtu anayetaka kuweka vyeti vyake wazi.
 
tuusan.... heb ona.... gdp ya kenya ni $114b because if gdp grew by 7.5% last year, then:

If;
$106.2b × 107.5/100% = X

:. X= $114b.!!
kama tanzania mwaka jana ilikua kwa asilmia 4%, then;

If:
$67b x 104/100% = y

:. y = ...? (do the math please.....)
 
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kuna kipindi ulisema the only one kumbe ndio yule Jamaa wa MASENO ? 🤣 Duh, noma sana.

1653480816600.png
 
Back
Top Bottom