Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
You damn right, they're very good at gentrification too 🙄lakini katika swala la planning na zoning, marekani ndo babalao.. aisee.!
dallasView attachment 2237556
houstonView attachment 2237557
You damn right, they're very good at gentrification too 🙄lakini katika swala la planning na zoning, marekani ndo babalao.. aisee.!
dallasView attachment 2237556
houstonView attachment 2237557
Mkuu, ndege za Urusi ni ghali Sana kuzinunua na kuzihudumia, China ndio kimbilio la Dunia nzima ktk kupata mahitaji yetu kwa kila kitu, tena kwa Bei nafuu.Binafsi kwa sasa naona kama tungerudi tena kwenye mig au tu upgrade kabisa na sukhoi ingependeza zaidi
Wanawake wote wa Tanzania ni warembo ndio maana Uhuru KashobokaAiseeh huyu Balozi wenu ni mrembo.
Leta picha ya drone zenu sio masengenyo.Hivi vitu TPDF have been using them ages ago kama nyie ndio mnatumia sasa poleni.
View attachment 2237654![]()
Tanzania to deploy army, UAVs in poaching crackdown - DefenceWeb
The Tanzanian government says it is mobilising some army units for a new anti-poaching campaign which will also include unmanned aerial vehicles (UAVs) towww.defenceweb.co.za
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dar kwenye barabara haina competitor ukanda wote huu tena decent roads
Dar ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuliko mji wowote ukanda huu
Stuck at exit means poor design!Na nilidhani walisema guys wount use the express way hehe! Kumbe hata haitoshi wajenge ingine tutalipia tu. Magari Ni mengi View attachment 2237738
Huyo aliwahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma.Aiseeh huyu Balozi wenu ni mrembo.
Mkuu, ndege za Urusi ni ghali Sana kuzinunua na kuzihudumia, China ndio kimbilio la Dunia nzima ktk kupata mahitaji yetu kwa kila kitu, tena kwa Bei nafuu.
Kama kusingekuwepo masharti ya nchi za Ulaya na Marekani kulazimisha nchi washirika na marafiki wao kulazimisha kuacha kununua silaha China, basi nchi nyingi za Ulaya zingenunua vifaa na ndege za Kijeshi toka China.
Hebu sikiliza hii video kwa makini Sana tofauti Kati ya J-10 na Rafel(ambayo ni ndege tegemeo kwa nchi za NATO), kisha linganisha Bei.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Not just exit even today morning almost everybody paid for the expressway the traffic shifted from the normal road to the expresswayStuck at exit meaning poor design!
Yah sure ni uzembe tuu wa bandari zetu kutokua efficient kwa kukosa vifaakaka kuna watu walifanya tathmini TPA ports zinaweza zikatoa zaidi ya 5 trillion a year just from port service .....TPA wanakusanya 900billion tsh currently
Punguza hasira za kitoto. Sipingi kwamba mna bandari kadhaa tayari. Mimi ninachoangalia hapa ni kwamba Tanzania bado ina potential kubwa zaidi ya kusafirisha mizigo za DRC. Otherwise mbona mnazidi kuexpand port zenu za maziwa? Mbona mnazidi kujenga meli kubwa zaidi? Obviously ni kwa sababu idadi ya mizigo nayo inazidi kuongezeka. Nipo sure mnahitaji meli kubwa kadhaa hio meli moja kubwa ziwa Victoria na moja kubwa ziwa Tanganyika hazitoshi.Sikiliza ulivyo mpumbavu hivi una maana gani bandari za maziwa ni ndogo?
Hivi Kisumu port inafika hata nusu ya bandari mbili za Mwanza north and South? unalinganishaje bandari za maziwa na za Bahari?
Hivi Unajua ukubwa wa meli za maziwa? Nyingi hazizidi 100m! Na Kigoma port ina berth tatu moja mizigo total berths with over 240 m then a dedicated berth for passengers 110m, another berths at Kagunga, with Kibirizi berth dedicated for smaller boats at 100 m!
With Karema port 150 m berth completion, and Kasanga with 120 m berth, Tanzania has 4 major ports in Lake Tanganyika, and just like the way we dominate Lake Victoria, we have no comparison.
As for vessels 2 ships for lake Tanganyika n Victoria r being built aside old being rehabilitated!
Wacha ujuaji!
Kind of Bus terminals in Kunyaland[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]outside of Darslam, no other city in tanzania can experience traffic snarl-up.!
naxvegas View attachment 2237767 View attachment 2237771 View attachment 2237770 View attachment 2237768View attachment 2237778
Tatizo lako ww ni mtu wa kusahau sahau sn, kwahiyo meli tunazokuwa tunapost hapa za ziwa Victoria na ziwa Tanganyika ushazisahau?Punguza hasira za kitoto. Sipingi kwamba mna bandari kadhaa tayari. Mimi ninachoangalia hapa ni kwamba Tanzania bado ina potential kubwa zaidi ya kusafirisha mizigo za DRC. Otherwise mbona mnazidi kuexpand port zenu za maziwa? Mbona mnazidi kujenga meli kubwa zaidi? Obviously ni kwa sababu idadi ya mizigo nayo inazidi kuongezeka. Nipo sure mnahitaji meli kubwa kadhaa hio meli moja kubwa ziwa Victoria na moja kubwa ziwa Tanganyika hazitoshi.
DRC na UG ni nchi kubwa mzee huwezi kuniambia eti hizo meli kubwa mbili zinatosha. Kama unahisi kwamba tayari mna bandari za kutosha basi wekeni nguvu zenu kwenye kujenga meli zingine kadhaa ili kurahisisha trade kati ya hizi nchi tatu kubwa Uganda, DRC na Tanzania. Meli mbili kubwa kamwe hazitoshi.
Mwisho kabisa, Kenya haitegemei sana ziwa Victoria kusafirisha mizigo yake hadi nchi za jirani kama nyie mnavyoitegemea ziwa Victoria na ziwa Tanganyika. Najua nikisema mnastahili kununua cranes na vifaa vya kisasa pia utakasirika japo ni advise nzuri.