Ukiacha propaganda za Ulaya, China kwa Sasa ndiyo inaongoza duniani kwa Technology karibu katika maeneo yote, iweje hao wazungu wanakubali kununua kila kitu kutoka China, lakini likifika eneo la silaha na "security issues" Kama 5G, wanakataza mataifa mengine kushirikiana na China?. Kumbuka China ni nchi ya 3 duniani kwa nguvu za kijeshi, nchi ambayo zaidi ya 98% ya silaha zake zimetengenezwa China, hata USA hawajafika Kiwango hicho, USA na Europe wanashirikiana ktk kutengeneza silaha.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app