I don't think those chengdu even fly, ziko tu. Leta video if otherwise3rd Generation fighter jets vs 2nd Generation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania rptuba yote sio mali yenu ni mali ya beberuHayo majengo yote siyo mali za wakunya ni mali za beberu
Kariakoo looks like a slum somewhere in eastlands NairobiKariakoo mnaiwaza sn ila hamtokuja kuwa na kariakoo kwa miaka 5000 ijayo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2236149
Mm nitatofaitiana na nyinyi kidogo, huwezi kuwafundisha watu kuwa wazalendo ata kidogo, namna pekee ya kuondokana na hii hali ni sheria kali tuu bila kumfumbia mtu macho kwa namna iyo ndo tutawwza kuleta uwajibikaji na uzalendo serikalini, mfano ulio haI na wawazi kabisa ni uwepo wa dini na serikali katika kila nchi hapa duniani imesaidia kuregulate mienendo na hulka za watu la sivyo kungekua hamna mpangilioNaongezea pia somo la Uzalendo ni muhimu kwa watoto lifundishwe kuanzia ngazi za chini hadi juu.
Kufundishwa utunzaji wa mazingira na rasilimali zake ni muhimu sana.Sisi tukiwa wadogo tulikuwa tunaona machapisho mbalimbali kwenye kuta za umma, ofisini, mbao za matangazo na kalenda zinatoa maonyo mbali mbali.
Mfano; Maji ni uhai, Kata mti Panda mti, Miti chanzo cha mvua, Afya ni mali, Tunza mazingira ili yakutunze. N.K.
Hivi vilitujenga sana kisaikolojia kutambua na kuthamani utunzaji wa mazingira, mfano unaona picha ya mti inalia huku ikisema "Usinikate, mimi ninakuletea mvua, kuni, mbao na kivuli,kitotototo unaona ni kweli ukiukata utalia [emoji16][emoji16].
Hii mentality unakua nayo huwezi kukata mti bila sababu ya msingi. Saikolojia pia inatakiw kuwajenga watoto wakiwa bado wadogo ili tupate kizazi chenye maadili.
Hivi matangazo ya sasa hivi tunamsaidiaje mtoto mdogo, Jiunge Freemason uwe Tajiri, badala "Fanya kazi kwa bidii ",Utajiri wa majini, badala waseme Utajiri upo katika "Kilimo bora na Ufugaji"
Dawa za nguvu za kiume:Kwanini isiwe ili uwe na nguvu za kiume zingatia mlo bora na mazoezi?.
Zamani mtoto alivyokuwa akimaliza elimu ya msingi alikuwa na uwezo wa kufanya kazi za mikono baada ya stadi na maarifa aliyoyapata darasani na kuweza kujiajiri, sasa hivi muulize mtoto mboji ni nini na inatumikaje kama ataweza kukwambia. Kwanza ni mdogo kiumri halafu kujua maisha ni nini siyo rahisi kung'amua kutokana na maarifa aliyoyapata na umri wake.
Wazee wetu walikuwa na akili sana walitutunzia rasilimali zetu nyingi pamoja na kutokuwa na elimu ya darasani lakini mazingira waliyajua ipasavyo, leo hii tunajiita wasomi tunakwapua rasilimali za Taifa utadhani tutaenda nazo kaburini, hii ni kwasababu ya umasikini wa fikra, ubinafsi na uchoyo kwamba mwingine asipate.
Tusipowafundisha watoto wetu kujitambua,kujitathimini, kujua umuhimu wa rasilimali zetu na kuzitunza kama si kizazi hiki au vijavyo vitarudi utumwani na kutawaliwa kama ilivyokuwa zamani.
Mababu zetu walikufa kwa ajili yetu ili tuweze kujitawala, akina Mkwawa, Isike, Milambo, Mangi, Kimweri, walipinga kutawaliwa mpaka wengine wakasalitiwa.Hawakuwa wajinga walikataa kuwa vibaraka ili walinde rasilimali kwa ajili ya Fahari ya Mtanzania, leo hii hatuwaoni wa maana tunautukuza uzungu kwa kujua kuongea lugha yao tunajiona tumestaarabika, kumbe tunaelekea utumwani na kwenye ukoloni tena.
Hapa naongelea Afrika nzima,tusipojitambua tutapoteza vizazi vyetu. Sijasema tujitenge na watu lakini tutunze asili yetu kama Waafrika.
Misingi ya Taifa ikiwa mibovu huwezi kujenga Taifa lililo Imara. Turudi kwenye misingi yetu kwa kuwa na elimu yenye kutambua asili yetu. Tuboreshe mitaala ya elimu yetu.
Ahsanteni sana.
Hivo ndo wanaji console 😅Tanzania rptuba yote sio mali yenu ni mali ya beberu
During this time of campaigns people try as much as possible to divert/twist the message but you should know better. Gachagua can't be that dumb, propaganda is the norm of the day...i watched a clip the other day where a politician spoke in mother tongue and then it trended...the translation was laughable especially if you speak the languagedyfre umesikia chenye Gachagua amesema leo kuhusu Safaricom?
Only when it favor your ego...right?what a dunda headIkija kwa infrastructure mchina hana mpinzani.
Hivo ndo wanaji console 😅
During this time of campaigns people try as much as possible to divert/twist the message but you should know better. Gachagua can't be that dumb, propaganda is the norm of the day...i watched a clip the other day where a politician spoke in mother tongue and then it trended...the translation was laughable especially if you speak the language
ni hali tu ya siasa, unatumia mbinu yoyote ili mradi uweke tu kichwa statehouse... pia raila anasema eti vijana woote ambao hawana kazi watalipwa elfsita 6,000/- kila mwezi for free ....... 😆😆dyfre umesikia chenye Gachagua amesema leo kuhusu Safaricom?
Hahaha. Lakini kuna watu wakora sana huko twitter. Nimeingia twitter na first thing nimeona ni Gachagua trending. Watu wanasema amesema chenye hajasema. Then kuna statement ya Safaricom inakaa legit kumbe ni fake. Watu wacompete tu vizuri hakuna haja ya kucheza chafu.ni hali tu ya siasa, unatumia mbinu yoyote ili mradi uweke tu kichwa statehouse... pia raila anasema eti vijana woote ambao hawana kazi watalipwa elfsita 6,000/- for free .. 😆😆
You can't deny facts.Only when it favor your ego...right?what a dunda head
Wewe unaweza ku tell difference between fake and legitimate, kuna yule jamaa akiona tu kitu ikiongelewa asha amini na hao ndio majority, those are the targets of propaganda..ingekuwa kitu real saii ingekuwa breaking news pale citizen raila media services 😅😅You may be right. This may just be propaganda and fake news but it is very serious propaganda. That Safaricom communication looked legit and was professionally done but it was fake. I mean Kenyan cyber space is now full of fake things.
True. A lot of people have already believed it and that was the intended effect.Wewe unaweza ku tell difference between fake and legitimate, kuna yule jamaa akiona tu kitu ikiongelewa asha amini na hao ndio majority, those are the targets of propaganda..ingekuwa kitu real saii ingekuwa breaking news pale citizen raila media services 😅😅
what.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆Hahaha. Lakini kuna watu wakora sana huko twitter. Nimeingia twitter na first thing nimeona ni Gachagua trending. Watu wanasema amesema chenye hajasema. Then kuna statement ya Safaricom inakaa legit kumbe ni fake. Watu wacompete tu vizuri hakuna haja ya kucheza chafu.
The kenyan social media has a huge abd direct impact because everyone can access information in real-time...i couldn't say the same about some countries where twitter imejaa cobwebswhat.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆
enway i ll still applaud 👏🏽 kenyans for their brilliance. kenyans are very innovative or creative when it comes to matters cyber
Kitu imenishtua ni ati hizo statistics ni za ukweli. Mimi nilishaamini ni ya ukweli coz hizi statistics najua ni za ukweli. Huyu ni mtu alifanya research ndio aandike hii letter. Mahali alikosea ni ati hakuna signature. Hapo tu ndio alikosea.what.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆
enway i ll still applaud 👏🏽 kenyans for their brilliance. kenyans are very innovative or creative when it comes to matters cyber
enway, watazoeaYou can't deny facts.
View attachment 2236941View attachment 2236942View attachment 2236943View attachment 2236944View attachment 2236945![]()
Now comes the Chengdu J7G which is a direct copy of the soviet's mig 21View attachment 2236964
Mig 21
View attachment 2236966View attachment 2236967
Chengdu j7View attachment 2236968View attachment 2236969
Alafu ni reli ya aina gani hapo? Haya majinga haya yn yanaacha kuishinikiza serikali yao iwajengee reli ambayo ni ya kisasa yanashangilia kujengewa ma station ambayo hayana mpango wowote.