Hilo naunga mkono pale palikuwa na ajenda ya siri kwenye lile daraja maana walikuwa wanaogopa hata kupigwa picha .....kwanini wazuie watu kupiga picha kwenye geti za daraja wanazo chukua pesa .....kwasasa kigamboni itapata thamani zaidi baada ya hizo gharama kushushwa
Njoo utembelee hilo eneo maana lipo sehemu nyepesi sana kufika ukija dar ...linapakana na oyster bay na masaki kutoka ufukwe wa coco Beach [emoji950] nikama km 4 hadi 5 umefika msasani .....sema hapo ni uswahilini ila kamwe siyo slumSasa kama wewe mwenyewe umekubali kwamba majumba ambayo yamejengwa Msasani ni duni sasa mbona tusiite eneo hilo slum?
Wote wanyonyaji tuu awe mchina au mzungu mm pointi yangu ni wachina ni wengi sana Zambia almost laki moja mpaka benki zao kubwa nyingi zimewekeza uko mfano iyo bank of China haina branches nyingi africaWacha kumezwa na kasumba za kimagharibi ndugu zinakufanya Uwe kipofu kutoona standard chartered bank na Barclays pia ni za Muingereza na zipo miaka nenda miaka rudi ila zikiwa za mchina zina-facilitate unyonyaji!
Kisumu linganisha na Mwanza sio Arusha
Magufuli bus station can hold 3456 buses and 200 private carsWewe jibu swali. Kati ya hii yenu na Oshodi bus terminal gani ndio kubwa zaidi kwa maana mnasema kwamba yenu ndio biggest in Afrika??
View attachment 2234980
View attachment 2234981
View attachment 2234982
View attachment 2234983
Hata Tanzania kuna Chinese banks pia!
Japokuwa imechukuliwa na NMB Bank baada ya Liquidity issues
![]()
NMB Take Over China Commercial Bank Tanzania
The Bank of Tanzania (BOT) has transferred all assets and liabilities of China Commercial Bank Limited (CCB) to NMB Bank Plc.www.tanzaniainvest.com
Kuna hii pia!
Mm nachoamini ni kuwa wote ni wanyonyaji tuu ila lawama zangu kubwa napeleka kwa viongozi wetu wanaowasujudia hao wanyonyajiNinawashangaa Sana watanzania wanaoichukulia China kuwa ni wanyonyani, tayari propaganda za wazungu zimeanza kufanikiwa.
China is the best friend of African, udhahifu wetu na kushindwa kwa Afrika katika kusimamia maisha na maendeleo yetu, tunataka kulaumu China
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Geza Ulole naomba "Comments" zako katika huu mjadala wanachozungumzia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sasa mbona unashadadia umbea wa media ya mnyonyaji mmoja? Unaijua Glencore wewe? hawa wanagombania tonge kwahiyo wako busy kuchafuana!Wote wanyonyaji tuu awe mchina au mzungu mm pointi yangu ni wachina ni wengi sana Zambia almost laki moja mpaka benki zao kubwa nyingi zimewekeza uko mfano iyo bank of China haina branches nyingi africa