Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,089
- 17,805
Pole mkuu 😂 😂 ila watanzania wanapenda sana kufananisha hilo jiji lenu na NYWacha kunilisha maneno
Pole mkuu 😂 😂 ila watanzania wanapenda sana kufananisha hilo jiji lenu na NYWacha kunilisha maneno
Hebu zihesabu nione
Hapo ndipo wanapoishi Wakenya wa kawaida? Mm nmekuwekea nyumba za kawaida kabisa nilizopiga kwa mkono wangu sahizi. Alafu kwnn wakunya hampost picha mlizopiga wenyewe? Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umezidiwa ukaona heri ubadilishe gear hewani! [emoji23] [emoji23] Nenda Syokimau, Utawala and Ruai (mnayosemanga ni slum) among many other places. Nyumba Kama hizo zimejaa, tena za quality bora
View attachment 2235581View attachment 2235582View attachment 2235583View attachment 2235584View attachment 2235585View attachment 2235587View attachment 2235588View attachment 2235589View attachment 2235590View attachment 2235591View attachment 2235592
🤣 🤣 🤣 🤣Machinjio mpya hii hapa uchumi wetu mkubwa haurusu mazingira ya kishenzi kama hayo ndiyo maana tukajenga mpya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235597View attachment 2235598View attachment 2235599View attachment 2235600
How can you count the number of lanes wakati barabara yenyewe hata haijakuwa marked na rangi? Tell me how you did it broKwani hizo lanes za katikati huzioni au sio barabara hiyo?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani hizi tunazopost humu zimepigwa na robots? Akili umewacha wapi?Hapo ndipo wanapoishi Wakenya wa kawaida? Mm nmekuwekea nyumba za kawaida kabisa nilizopiga kwa mkono wangu sahizi. Alafu kwnn wakunya hampost picha mlizopiga wenyewe? Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana mtu nilisikia, huyo bibi alikua akilipa 60 million kwa siku kwenye hotel aliyofikia huku Marekani, hiyo ni yeye tu.Afu walikaa wiki mbili. Dah, hakika katiba imetuangushia jumba bovu 🙆
Mpya hii hapa, uchumi wa $150b hauruhusu mazingira kama hayo, alafu nakuletea na Kenya stay tune[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Weka picha uliyopiga kwa mkono wako.Kwani hizi tunazopost humu zimepigwa na robots? Akili umewacha wapi?
You are becoming too irrational! Eti picha tulizopiga wenyewe!!! Kama guns jibu jipe shuguli coz evidently ushazidiwaHapo ndipo wanapoishi Wakenya wa kawaida? Mm nmekuwekea nyumba za kawaida kabisa nilizopiga kwa mkono wangu sahizi. Alafu kwnn wakunya hampost picha mlizopiga wenyewe? Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo nilizoweka zimepigwa na mkono wa ng'ombe?Weka picha uliyopiga kwa mkono wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] square pipes angle line na Flat bars hatari kwelikweli.kama lile la Tusker FS[emoji16]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mpya hii hapa, uchumi wa $150b hauruhusu mazingira kama hayo, alafu nakuletea na Kenya stay tune[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235602View attachment 2235603View attachment 2235604View attachment 2235605
Uchumi wa $150b [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpya hii hapa, uchumi wa $150b hauruhusu mazingira kama hayo, alafu nakuletea na Kenya stay tune[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235602View attachment 2235603View attachment 2235604View attachment 2235605
Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo nilizoweka zimepigwa na mkono wa ng'ombe?
Sasa unaweka mpaka ITV ilitu ujifurahishe?🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
A $150b economy hairuhusu mazingira hayo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Nakiona kichanga cheupe iko,wakunya hawanaga miji mipya kama hiyo,sehemu kama hizo zote kenyatta family na matajiri wengine wameziwahi miaka kibao nyuma ukoYah pande za kivule hzo mkuu.
Hizi picha unaziokota Nigeria unaweka logo za TZ unaleta hapa.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()