Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A $150b economy hairuhusu mazingira hayo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235618View attachment 2235619View attachment 2235620View attachment 2235621
Jamaa wanavaa hadi gumboots za shamba ndani ya slaughter house. 🤣 🤣 🤣
image_downloader_1653307425896-jpg.2235603
 
Mnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa picha kama hizi mbili za Ruai zikishawekwa hapa ni mazingira gani tena unataka kuona kando na hii? Ama mazingira ni nini?
images (10).jpeg
images (3).jpeg

Ama unadhani kwamba Nairobi pia ni jiji la uswazi?
 
Sasa picha kama hizi mbili za Ruai zikishawekwa hapa ni mazingira gani tena unataka kuona kando na hii? Ama mazingira ni nini?
View attachment 2235626View attachment 2235628
Ama unadhani kwamba Nairobi pia ni jiji la uswazi?
Hizi umepiga kwa mkono wako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. 🤣 🤣 🤣
Image
Wakati Nairobi wanakufa njaa kila siku hasa kwenye slums, Tanzania kwenye informal settlements cheap foods zinapatikana mpaka barabarani, hii ndio tofauti yetu na ninyi wafa njaa.
 
sasa oneni vile thika highway barabara ilivo kabla ya zile filter zao 😂😂😂😂


no filters 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2235458View attachment 2235459View attachment 2235460

tanganyika nyinyi mko na shida aky. na hii sio mara ya kwanza.... hivi mtanganyika akiona ajali kenya anafurahia sana, angulia kicheko na kupiga sherehe.. inakua ni bonge la party ndo manaake.
na hii tabia pia inakuaga sana pale kwenye facebook na twitter. wah.! wabongo.. 🤔🤔
 
Back
Top Bottom