Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,082
- 17,801
Ndio maana nakuambia hizo sio pombe. Zinaingizwa huku kimagendo tu,Actually it's in recent days Serengeti priced at 1500
View attachment 2235485
View attachment 2235486
Ndio maana nakuambia hizo sio pombe. Zinaingizwa huku kimagendo tu,Actually it's in recent days Serengeti priced at 1500
View attachment 2235485
View attachment 2235486
Nataka unioneshe nyumba za Wakenya wa kawaida, mm naanza na nitakuletea picha zaidi. Twende kazi nyumba za Watz wa kawaida ndani ndani kabisa [emoji116][emoji116]Bongolala, I know you got nothing outside of your cbd, and that's what's paining you most. Hapo nimeweka picha za Gigiri, Upper Hill, Kileleshwa, Westlands, Nairobi West, na hata Spring Valley na maeneo mengine. Sasa mwasho wako ni wa nini? You can't get such pictures outside Dar cbd na hapo ndio mauchungu yako yapo
kama lile la Tusker FS😁Vifaa vya ujenzi vikitumika kugeuza gari la Mizigo kuwa gari la Abiria .[emoji41]
View attachment 2231987
Mzee wa kujifurahisha upo.?Zile ni viroba ndugu, zile sio beer. Ndio maana zinauzwa huku kimagendo. Eti upatikane unakunywa sijiu Serengeti! Ndani lazima utalala
How many?Six lanes zipo wapi hapo bongolala, au hii ndio kujitia hamnazo?
Picha ya Nigeria hii!Dar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. 🤣 🤣 🤣
![]()
Wacha kunilisha manenoHata US hakuna slums but you often refer to Dar as New York of Africa
Mimi nilifikiri ni kama kula rojo unguja[emoji1787][emoji1787]Zinatengenezwa unafikiri kununua ndege ni kama kuagiza githeri au mokimoo? Nenda site ya boeing utaona order ambayo iko anonymous 1 dreamliner 787, 1 freighter 767, 2 737 max and an additional Bombardier Q400
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 Nigeria hakuna sundrop. Dar tunaijua vizuri sana, hata kama ni umaskini, yani hamuwezi uza nyama kwa butcher.Picha ya Nigeria hii!
Tanzania huwezi uza nyama kwa mipigo hii.
Kwani wewe ujui kuwa picha za slum za kenya na nigeria ndiyo icon ya slum zote africa hivyo utumika picha zenu kuelezea matatizo ya nchi mbalimbali duniani[emoji1787]wewe Dogokundu... eti umesema hapa ni kunyaland.!? [emoji1427][emoji1427]
View attachment 2235417
View attachment 2235421
Munachija kwa kiwanja.🤣🤣🤣Picha ya Nigeria hii!
Tanzania huwezi uza nyama kwa mipigo hii.
Hii ardhi kama kivuleNataka unioneshe nyumba za Wakenya wa kawaida, mm naanza na nitakuletea picha zaidi. Twende kazi nyumba za Watz wa kawaida ndani ndani kabisa [emoji116][emoji116]View attachment 2235552View attachment 2235553View attachment 2235554View attachment 2235555View attachment 2235556View attachment 2235557View attachment 2235558View attachment 2235559
Yah pande za kivule hzo mkuu.Hii ardhi kama kivule
Umezidiwa ukaona heri ubadilishe gear hewani! 😂 😂 Nenda Syokimau, Utawala and Ruai (mnayosemanga ni slum) among many other places. Nyumba Kama hizo zimejaa, tena za quality boraNataka unioneshe nyumba za Wakenya wa kawaida, mm naanza na nitakuletea picha zaidi. Twende kazi nyumba za Watz wa kawaida ndani ndani kabisa
View attachment 2235552View attachment 2235553View attachment 2235554View attachment 2235555View attachment 2235556View attachment 2235557View attachment 2235558View attachment 2235559![]()
Tz utumbo au patikani kwenye mabucha labda sehemu chache sana buchani uwezi kukuta utumbo ,pia hapo labda ni nje ya machinjio ndiyo kuna mambo kama hayoDar hakuna butcher, hadi hawkers wanauza nyama kando ya barabara. Tukisema wakona a big informal economy wanakasirika.
Oneni matumbo hapo juu ya mitungi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Ukweli ndio huo. Tusker inauzwa hadharani Tanzania ila hakuna beer ya kitanzania inauzwa kihalali huku kwetuMzee wa kujifurahisha upo.?
Machinjio mpya hii hapa uchumi wetu mkubwa haurusu mazingira ya kishenzi kama hayo ndiyo maana tukajenga mpya[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Munachija kwa kiwanja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
![]()
Tz utumbo atuuziii buchani mara nyingi una vibanda vyake vya kuuzia[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nigeria hakuna sundrop. Dar tunaijua vizuri sana, hata kama ni umaskini, yani hamuwezi uza nyama kwa butcher.
Kwani hizo lanes za katikati huzioni au sio barabara hiyo?Six lanes zipo wapi hapo bongolala, au hii ndio kujitia hamnazo?