Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta kifungu cha ISO standards specifications zinachosema lazma ziwe nyeupe!
Nani hajui white gumboots huvaliwa wapi. Pengine ni wewe tu hujui.

Hizo mnakunywa ndio chang'aa, ndio maana zeharamishwa Kenya. Huku ukipatikana na Serengeti mkononi seli lazima ukionje
What the hell is kunyaland? Zipo illegal sababu ni cheap kuliko gongo zenu zilizopo kwenye chupa, they fear competition ng'ombe wewe usie na akili
 
What the hell is kunyaland? Zipo illegal sababu ni cheap kuliko gongo zenu zilizopo kwenye chupa, they fear competition ng'ombe wewe usie na akili
Kunyaland is that country ahead of you that you'll forever read its number plate 😂
 
Now that wewe si mpumbavu si ungeendelea tu kupost na hizo zingine pia angalau hii kihoja kiishe?

Wewe ndio mpumbav uliye kuwa unabisha kuwa Tanzania hakuna land compensation lakini baada ya kuumbua ukondoo wako sasa hivi unahamisha magoli.
Ujuaji na hujui kitu cheusi mangala.
 
Kunyaland is that country ahead of you that you'll forever read its number plate 😂

We own you idiots 😂😂😂
You're our cattle
Screenshot_20220515-215338.png

Screenshot_20220517-073458.png
 
Nairobi ipo far ahead of Dar is a slum kwenye apartments hata kama wang'ang'ana kucompete na sisi.
Not just apartments. Apartments hawana so let's not even go there. In general, tumewashinda in organization and planning of residential areas. Nairobi hata zile mitaa za chini Kama pipeline na Kayole utapata bado zimepangika vizuru and the type of houses there are of high quality compared to what you'd find in most parts of Dar
 
Hakuna nyumba za mabati Tz na haitokuja kutokea mpk kuisha kwa dunia.

Hawa kondoo neno slums linawauma utadhani ni Tanzania ndo imesababisha slums Kenya failed state.

Hivi ushawahi fikiria na hili joto la Dar Es Salaam halafu uishi kwenye nyumba ya full suti bati. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye ulaji daily wa kuku Tanzania ni 34% while kunyaland ni 3% halafu bado ndio most preferred meat kuliko beef, sasa tukisema kwenye beef Tanzania itakua 500% zaidi ya kunyaland

View attachment 2235703
Kumbe ndiyo maana wana utapiamlo hawali nyama, wao ni sukuma wiki na ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe ndiyo maana wana utapiamlo hawali nyama, wao ni sukuma wiki na ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka nikuletee data ya nchi inayoongoza kwa utapiamlo ukanda huu ushangae?
 
Back
Top Bottom