Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's your usual weapon - Kibera slum 😂
Kibera ziko ngapi? 🤣🤣🤣

images (1).png
 
Kibera ziko ngapi? 🤣🤣🤣

View attachment 2235772
Uthiru is not a slum, ukitaka picha, both aerial and horizontal itisha nikuletee

Ruai I not a slum. I have shared a few pictures of houses in Ruai a few pages back. Ukitaka zaidi sema

If Riruta satellite is slum I don't know what to call Tandale

If Githurai is a slum what then should we call Mabibo?

Most parts of Kawangware are way better than the uswazi hovels of Dar. Kama ni picha unataka sema
 
Kawaambie hivyo unesco sio mimi 😂😂😂😂

Uthiru baby 😂😂😂

Screenshot_20220523-165038.png
 
Kwa hiyo mnapenda monopoly kwenye biashara . Hamtaki competition kwa sababu your products are low quality
A low quality product can't cost more than a high quality product. Let that sink in your head
 
Uthiru is not a slum, ukitaka picha, both aerial and horizontal itisha nikuletee

Ruai I not a slum. I have shared a few pictures of houses in Ruai a few pages back. Ukitaka zaidi sema

If Riruta satellite is slum I don't know what to call Tandale

If Githurai is a slum what then should we call Mabibo?

Most parts of Kawangware are way better than the uswazi hovels of Dar. Kama ni picha unataka sema
Wewe c bingwa wa ku edit Google, nenda uka edit hii
JamiiForums21809148.jpg
 
Mbona na nyie mnavaa boots kuna nini maana wewe ulikuwa unacheka kuhusu kuvaa hizo boots sasa tukuelewaje au tukuchukulie ni tahira.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Food processing industry wafanyikazi wanavaa safety boots nyeupe, hao wenu wamevaa safety boots za kulima shamba. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hata kichwa hawafuniki.
 
Back
Top Bottom