Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka data,mna Health facilities ngapi Nchi yenu yote? Nataka data sio kujichekesha hapa..

Tukitoka kwenye Afya tutakuja kwenye maji na Chakula.

Soma hiyo attachment hapo Chini,kuna ujenzi wa Hospital mpya unaendelea na Ujenzi wa Hospital nyingine ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi unaanza mwaka huu 👇

View attachment 2228930

View attachment 2228931
Hakuna jipya hapa, unaweza ku compare budget ya tzs 1tn na ingine ya over and above kes 200bn?
 
Cargo yote tumeiba, mmebaki na Mitumbwi ya passengers[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuambie hio Y axis ina mean nini kwa hii graph, ju me najua passengers hawapimwi na tonnes? 🤣 🤣 🤣
 
Peleka mavi yako kibera, slang unaijua wewe? Wazee wa "konekshon", "edukashon" na slang wapi na wapi. Mtanzania ukimkuta anaongea kingereza basi ujue anaongea kama mzungu mwenye lugha yake co nyie wazee wa bad accent. Eti unaongea kuhusu slang yn mkunya amfunze mtz slang [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tf!😅😅
 
Tuambie hio Y axis ina mean nini kwa hii graph, ju me najua passengers hawapimwi na tonnes? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe mwenye kilio ndio utuambie ina maanisha nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mwenye kilio ndio utuambie ina maanisha nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mimi ndio nimepost hio graph? 🤣 🤣 🤣 Tuambie hio y axis inapima nini kwa hizo graph zako ju me najua cargo inapimwa na weight.
 
Tuambie hio Y axis ina mean nini kwa hii graph, ju me najua passengers hawapimwi na tonnes? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Soma taratibu usilie tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220518-102737.jpg
Screenshot_20220518-102755.jpg
 
Kwani mimi ndio nimepost hio graph? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuambie hio y axis inapima nini kwa hizo graph zako ju me najua cargo inapimwa na weight.
Shule ulienda kusomea miraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mimi ndio nimepost hio graph? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuambie hio y axis inapima nini kwa hizo graph zako ju me najua cargo inapimwa na weight.
Sasa kama hukuelewa uliwezaje kupinga kitu ambacho hukuelewa, tatizo mnajifanya kujua hata kitu msichokijua mbwa nyinyi.
 
Endelea na historia ila kwa sasa Dar Port ipo huku imeiba mzigo wote wa Mombasa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2228923View attachment 2228924
Hapo kwenye un known type ni pakuzingatia sana au ni siraha zinazotumika kuchafua africa na madini yanayo ibiwa na na kutoroshwa kutoka nchi jirani ya kenya ikiwemo tz
 
Hapo kwenye un known type ni pakuzingatia sana hau ni siraha zinazotumika kuchafua africa na madini yanayo ibiwa na na kutoroshwa kutoka nchi jirani ya kenya ikiwemo tz
Hizo unknown ni mitumbwi hiyo kaka, waibe madini wamuibie nani hawa, ingekuwa madini basi namba za Dar port zingeanzia 50 pale kwenye Y axis.
 
Kwa hivyo cargo inapimwa na number of departure and arrival? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Na kwa jinsi Dar port ilivyo efficient kwa ss usije kushangaa tukachukua mzigo wote wa cargo wa Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom