The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Yah man mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]EGM hii mkuu, noma sana.
Yah man mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]EGM hii mkuu, noma sana.
Wakunya angalia environment sorrounding that beautiful flyover, very neat aisee.
Naitaji ujibu hilo swali, alafu ww aliye kudanganya kuwa accountant ndoi compitent pekeyao nani? Kwaiyo economist hawako compitent?Chamoto jamaa wa certificate in software programming, Justinr mjamaa wa kusukuma mkokoteni na chongchung mjamaa jobless nimeshawaeleza mambo ya accounting wacheni nayo. Mnajaribu kupingana na mtu aliyesomea haya mambo hadi mwisho. I am a CPA (K). Mwanzoni mwa jina langu ninaruhusiwa kuandika neno CPA kwa sababu CPA ni title yangu ila huwa naandika Mr. kwa sababu sipendi maringo kama nyinyi. Yaani nimesomea uhasibu hadi cheti cha mwisho kabisa cha section 6 na kuhitimu. Kwa hivyo muwache kudanganya watu humu.
Eti Chamoto una-argue vitu usivyovielewa. Wewe umewahi kuunda balance sheet yoyote maishani mwako? Kama hujui vitu vipi vinafall under assets na vitu vipi vinafall under liability unafunga bakuli lako sio kutupigia makelele hapa. Na Justinr unang'ang'ana kwamba ikiwa mtu mmoja anaishi ndani ya nyumba basi hio nyumba ni liability. Plenty of brain-dead people in this forum.
View attachment 2229116
View attachment 2229073
View attachment 2229124
Cc NDINDA
joto la jiwe
Hiyo haibadili ukweli kwamba kwa sasa Dar Port ndiyo inapokea mzigo mwingi kuliko Mombasa port hata ulie.TPA director anajua current capacity is 17 million tons. Wewe unapinga kama nani?
Sasa kuwa na adabu na kuanzia leo ukae ukijua mzigo wote wa Mombasa umerudi Dar port.Sawa mathematician. Rudi basi shule wakufundidhe upya how to read and interpret graphs
No wonder uko kwa airport...good mkuuYah man mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂😂 🙌🙌🙌🙌Hapo ndio Parking? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na huo mkeka utakua Wa kuziba jua. Halafu huu mfugo eneo hilo ni mwingi kuliko Motokaaa[emoji1787]
View attachment 2229178
Kuna watu wanaumia ukisema hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]No wonder uko kwa airport...good mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli ule msemo wa Elon mask umejidhihirisha. Pamoja na vyeti vyote hivyo.
BTW hii TAZARA ni section ya Tanzania tu as the whole length is 1860 km (the length of the whole Kunyaland's railline) ! Mind u the SGR Tanzania thet is U/C was not factored in!Tanzania railway line is twice the length of Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC and Sudan railway lines combined [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229237
YahBTW hii TAZARA ni section ya Tanzania tu as the whole length is 1860 km (the length of the whole Kunyaland's railline) !