Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

new findings reveal kenya's real nominal gdp 2022, to be about $124B [emoji1427]

wabongo waridhike tu na $77B, ata ivo sio mbaya saana..

View attachment 2227905





Tanganyika real nominal gdp 2022[emoji1427] $77B

View attachment 2227906
Maendeleo yote GDP ya Danganyika + Uganda bado hawaoni Kenya

Screenshot_20220517-142517.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220517-142634.jpg
    Screenshot_20220517-142634.jpg
    8 KB · Views: 31
Tutajua uwezo wake siku atanunua kama hilo lingine. Usikute alichangaa kuanzia 2011.. Na unajua bei ya helicopter moja??
Wakati unasubiri anunue km hili inaonekana majeshi kaya hamishia kwenye ndege binafsi according to yeye ni this year
 
Tutajua uwezo wake siku atanunua kama hilo lingine. Usikute alichangaa kuanzia 2011.. Na unajua bei ya helicopter moja??
Helicopter zinanzia 1m usd kwazile nzuri na zakisasa mpa 15+ml, lakizi used mpka chini ya m1 unapata
 
Kuna mahali hapo juu nilisema sisi huwa hatuna tabia ya kuthaminisha vizuri mali zetu. Angalia GDP yetu, inaonekana ndogo lakini tunajenga Bwawa, SGR phase I, barabara na miradi mingine kwa fedha zetu.

Ukijumlisha tuu thamani magari ya Diamond (japo ni liabilty) yanafika zaidi ya $1 mil. Kampuni zake, royalties za kazi zake, brand yake, nyumba n.k jamaa anaweza kuwa na hata $100mil.

Lupita kwenye hizo filamu zake hana royalties, yeye ni mwajiriwa tuu anayelipwa mara moja kwa filamu.
Na oscar kwenye category ya supporting role.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni zile Stori Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia..Mama kama Mama Samia.

Katoa bajeti ya Irrigation kutoka bil.46 hadi zaidi ya bil.360..,hakuna kutegemea utabiri wa kakakuona tena kwenye kilimo..

Ukisikia mapinduzi ya kilimo hiyo ndio maana yake.
[emoji116]

View attachment 2228011

View attachment 2228012

View attachment 2228013
Bado tutawalisha sana mpaka mwisho wa Dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chokoraa wa street ndio watamkimbilia Mondi. Wale wavuta bandi na glue na watoto wa shule ya upili ndio watamkibilia Mondi. Watu tuliostaarabika tunamkimbilia Lupita.
Cc xng hua
Hahahaha, wakenya mnapigana vikumbo kumpa Diamond views nyingi YouTube kuliko nchi yoyote hapa duniani, kwahiyo wakenya wanaongoza duniani kwa kutokustaharabika


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom