Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
Ungetamani ziwe za Dar sivyo? 😂 Wacha nikuongeze zingine muda si mrefuHuyo karudi tena na picha zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungetamani ziwe za Dar sivyo? 😂 Wacha nikuongeze zingine muda si mrefuHuyo karudi tena na picha zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
EAC hata bajeti ya kujiendesha inategemea wafadhili
Sijakuelewa,ila kama unamaanisha wafadhili ndio wametoa pesa ya sgr hiyo unakuwa huelewi..EAC hata bajeti ya kujiendesha inategemea wafadhili
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hamna hata 100% transition from primary to high school. Bado mkona primary school dropouts in 2022. 🤣 🤣 🤣 Wachana na topics za elimu we soja, ukiwa shule you thought a pen was too heavy, sasa ona unabeba uzito wa rungu kwa airport.
Hakuna public high school in Tanzania inaweza toa performance kama hii.
![]()
Buda, majority of Kenyans learn in public institutions from primary to university...kwani unafikiria public schools Kenya ziko aje? This is my alma mater, Kabianga School deep in Kericho County... University transition is almost 100% and for your information,Kenya is one of few countries with 100% primary to secondary school transitionWewe ni mtu mpumbavuSana 90% ya waafrika wanasoma shule za serikali, kusoma private schools hawazidi 2% , Sasa wewe unataka kusema maisha ghali wanayoishi matajiri kuwa ni maisha ya kiafrika?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, wakenya mnapigana vikumbo kumpa Diamond views nyingi YouTube kuliko nchi yoyote hapa duniani, kwahiyo wakenya wanaongoza duniani kwa kutokustaharabika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha. Boss mambo ya accounting wachana nayo, hii sio area yako. Eti nyumba sio asset ikiwa unaishi pekee yako?I had rather stay economist than accountant, ni vyema uelewe mada kwanza vyema, sikupingi juu ya gari kuwa asset lakin pia gari linaweza kuwa liability, kwa kuielezea asset, ni kitu chochote kinacho kuingizia kipato, simple and clear,
Magari kwa asilimia kubwa ni liability kutokana na kudepriciate kwa value haraka, leo ukingia yard kununua BMW m5 nakuakikishia bada ya 6month thaman yake itakuw imeshuka sana, ndio mana huwa watu wengine wana prefar kununua used cars, sabab kwanza zinakua bado na hali nzuri na kwa bei nafuu
Gari inaweza kuwa asset kwa kufanyia biashara na kukuingizia kipato lakin inakuw na risk nyingi kama kupata ajali, kuchakaa, kushuka thaman na mengineyo , ndio mana gari sio best investment.
Nb, hata kama umenunua nyumba na unaishi mwenyewe hiyo sio asset pia.
Tena hao ni wasomi wa University, huko mtaani ndio balaa zaidiOna ''chokoraa wa street'' walivyo lipuka baada jina la Diamond kutajwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Buda, majority of Kenyans learn in public institutions from primary to university...kwani unafikiria public schools Kenya ziko aje? This is my alma mater, Kabianga School deep in Kericho County... University transition is almost 100% and for your information,Kenya is one of few countries with 100% primary to secondary school transition
My former school
View attachment 2228114View attachment 2228115View attachment 2228116View attachment 2228117
Kwahio watu wa university hawawezi kua machoko.!?Tena hao ni wasomi wa University, huko mtaani ndio balaa zaidi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Labda kwenye tvTembea Kunyaland nzima huwezi pata daraja kama hili!
Gari inakua asset tu kama ni ya biashara like buses, trucks and any form of car used in business purposes lakini kama ni gari ya kutembelea tu ni liability na utaihudumia au kuigharamia zaidi ukilinganisha na matumizi ya nauli za kawaida unless kama unaishi kunyaland ambapo nauli ya 5 kilometers ride ni 30 kilometers ride in TanzaniaI had rather stay economist than accountant, ni vyema uelewe mada kwanza vyema, sikupingi juu ya gari kuwa asset lakin pia gari linaweza kuwa liability, kwa kuielezea asset, ni kitu chochote kinacho kuingizia kipato, simple and clear,
Magari kwa asilimia kubwa ni liability kutokana na kudepriciate kwa value haraka, leo ukingia yard kununua BMW m5 nakuakikishia bada ya 6month thaman yake itakuw imeshuka sana, ndio mana huwa watu wengine wana prefar kununua used cars, sabab kwanza zinakua bado na hali nzuri na kwa bei nafuu
Gari inaweza kuwa asset kwa kufanyia biashara na kukuingizia kipato lakin inakuw na risk nyingi kama kupata ajali, kuchakaa, kushuka thaman na mengineyo , ndio mana gari sio best investment.
Nb, hata kama umenunua nyumba na unaishi mwenyewe hiyo sio asset pia.
Haya mambo ya Uhasibu ni mambo ya kitaalam kabisa. Sio mambo ya wewe kuleta opinion yako hapa. Wewe chongchung na Justinr mnatabia za kutoa opinion hata kwa mambo msioyaelewa. Hivi nikuulize wewe chongchung umesomea uhasibu? Mimi nimeisomea na ukiniitisha certificates zangu naweza kukuletea.Gari inakua asset tu kama ni ya biashara like buses, trucks and any form of car used in business purposes lakini kama ni gari ya kutembelea tu ni liability na utaihudumia au kuigharamia zaidi ukilinganisha na matumizi ya nauli za kawaida unless kama unaishi kunyaland ambapo nauli ya 5 kilometers ride ni 30 kilometers ride in Tanzania
Wewe soja The best 007 mambo ya elimu wachana nayo kabisa, hadi ile siku mutakua na 100% transition to secondary school. Hakuna vile unaweza compare Kenya ambayo ikona double the number of high school candidates na Tanzania. Bado munadrop out of primary school in 2022. 🤣 🤣 🤣
Yani hamjafikisha hata half a million candidates alafu private schools ndio zinatop performance za secondary schools, na vile mkona kelele za chura.
Mkifika hii level nitafunga account.
Aisee bonge la ubunifu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Kitu kikiwa chenu bhana mnafanya mnavyotaka, sasa hawa jamaa zetu warongwe wajaribu hili kwenye Chinese Expressway uone mwenye barabara atakavyowatimua…..[emoji28][emoji28]View attachment 2227915
View attachment 2227916
View attachment 2227917
View attachment 2227918
#ChampionsLeagueFinalWithaStyle.
#RoyalTour
#TheMightyTanzaniteBridge