🤣 🤣 🤣 🤣waaaaaaaaUnaeza pata Nyama ya Nguruwe saudia haraka sana kuliko kupata estate zilizopangwa dar.
🤣 🤣 🤣 🤣waaaaaaaaUnaeza pata Nyama ya Nguruwe saudia haraka sana kuliko kupata estate zilizopangwa dar.
unajiakiaje ??🤣👇
ata nisichoke kuviandika.. zote hizi hapa👇🏽👇🏽pia pamoja na hizi private:-
Daystar Uni.
African Nazarene Uni.
EA Catholic Uni.
St Paul's Uni.
Riara Uni.
Mt. Kenya Uni.
Kenya Methodist Uni.
Presbyterian Uni.
Baraton Uni.
Kabarak Uni.
Oyaa mimi huwa sikurupuki. Ninaposema kwamba Vanessa Mdee anatokea katika familia ya kitajiri najua ninachosema. Baba ya Vanessa Mdee alikuwa ni Balozi kwa jina Sammy Mdee. Sasa Balozi utasema ni mtu masikini?Mtanzania anaesomea hapo Nairobi ambae anaweza kwenda hata kwa mguu na anaweza kulipa ada kwa Tsh unasema ametoka kwenye familia ya kitajiri, na wanaosoma abroad ambao nauli tu ya ndege ni ada ya 2 semesters bado accommodation utasema wanatoka kwenye familia za aina gani?
Simba mkubwa 😆😆😆😆👇
Pia mkuu kwa iyo 5million Usd wanayo sema ndio kiwango chake sizani kama ni kweli, kama aliweza kununua Rolls Royce cullinum black barge kwa dirham 2250000 ni billion moja na million mianne ya Tsh hapo halija safirishwa na halija lipiwa ushuru, yuko na plan ya kununua ndege, anaweza asiwe km Lupita kiumarufu lakini sidhani kifedha km anazidiwaHao wasichana wengi ni groupies, wanapata walichokitafuta. kuna vijana wengi ambao ni wasomi na wenye mwelekeo lakini wanawakataa, wanataka vinavyo ng'aa, wakidhani vyote ni dhahabu.
Kuhusu kutelekeza watoto hilo siyo sahihi ila mimi siwezi kusema chochote maana siyafahamu maisha yake binafsi.
Binafsi nafurahia mafanikio ya Lupita, mabinti wengi wanamuangalia kama nguzo ya mafanikio.
Kusema kuwa yuko 'successful' sana hiyo inategemea unapima nini. Mtu katoka kwenye familia ya kisomi na inayojiweza, huoni teyari ana msingi wa kupata maendeleo? Huwezi kumfananisha na Diamond aliyelelewa na mzazi mmoja, hata shule ya sekondari hakuweza kumaliza. Hata hivyo aliweza kutoka kuuza mitumba Tandale na leo anamiliki biashara kadhaa, na kuweza kuhamasisha vijana wengi Afrika. Kwangu hayo ni maendeleo makubwa sana.
Usiangalie kimo mtu alichofikia bali angalia shimo alilotokea - Pro Kabudi.
Alisomea CUEA not USIU.Oyaa mimi huwa sikurupuki. Ninaposema kwamba Vanessa Mdee anatokea katika familia ya kitajiri najua ninachosema. Baba ya Vanessa Mdee alikuwa ni Balozi kwa jina Sammy Mdee. Sasa Balozi utasema ni mtu masikini?
Meza wembeni watoto wa shule ya msingi, chekechea na kindergarten ndo mondi ata cross nao ..
Kuna mahali hapo juu nilisema sisi huwa hatuna tabia ya kuthaminisha vizuri mali zetu. Angalia GDP yetu, inaonekana ndogo lakini tunajenga Bwawa, SGR phase I, barabara na miradi mingine kwa fedha zetu.Pia mkuu kwa iyo 5million Usd wanayo sema ndio kiwango chake sizani kama ni kweli, kama aliweza kununua Rolls Royce cullinum black barge kwa dirham 2250000 ni billion moja na upuzi ya Tsh, yuko na plan ya kununua ndege, anaweza asiwe km Lupita kiumarufu lakini sidhani kifedha km anazidiwaView attachment 2227820View attachment 2227821View attachment 2227823
Naona Chokoraa wawili wanasuguana.Meza wembe
View attachment 2227827
Hao watalipia kumuona n kama huyu wa mombasa wkt wa wasafifestival View attachment 2227830
Wewe soja The best 007 mambo ya elimu wachana nayo kabisa, hadi ile siku mutakua na 100% transition to secondary school. Hakuna vile unaweza compare Kenya ambayo ikona double the number of high school candidates na Tanzania. Bado munadrop out of primary school in 2022. 🤣 🤣 🤣
Yani hamjafikisha hata half a million candidates alafu private schools ndio zinatop performance za secondary schools, na vile mkona kelele za chura.
Mkifika hii level nitafunga account.