Njia zipo nyingi sana, pembeni ya hyo bridge kuna selander bridge ambayo ndiyo ya kitambo. Tanzania kuna mambo mengi sana ya kushangaza.So bridge imefungwa watu waangalie boli, wafrika bana [emoji848] 🙄
Alafu kulikua na ulazima gani kujenga bridge ambayo iko karibu na shores. Wangejenga barabara kwenye fukwe ingeokoa pesa.Njia zipo nyingi sana, pembeni ya hyo bridge kuna selander bridge ambayo ndiyo ya kitambo. Tanzania kuna mambo mengi sana ya kushangaza.
Unaongelea kitu gani mbona hueleweki wewe. Pesa yetu unatupangia matumizi mbwa wewe.Alafu kulikua na ulazima gani kujenga bridge ambayo iko karibu na shores. Wangejenga barabara kwenye fukwe ingeokoa pesa.
Kama ni ukweli hii ni makosa kubwa sana na inatamausha sana. Ukabila wa aina hii inastahili kuangamizwa Kenya. Madai haya lazima yachunguzwe ili kubaini ukweli wake na ikiwa ni ukweli basi hatua ichukuliwe.Ukabila utaisha kweli?!
View attachment 2228293
Sio Africa tu,dunia nzima kuna matukio yanalazimu kufunga barabra mfano marathons.So bridge imefungwa watu waangalie boli, wafrika bana 🤔 🙄
Hapo watu wanakula Heineken kwa kwenda mbele msongo wa mawazo ukikuzidi jirushe darajani tuu.Njia zipo nyingi sana, pembeni ya hyo bridge kuna selander bridge ambayo ndiyo ya kitambo. Tanzania kuna mambo mengi sana ya kushangaza.
Mchango wa Lupita Kenya na Africa kwa ujumla ni hakuna kitu, wakati Afrika nzima inajua Diamond, na mchango wake kwa Tanzania na Afrika hauna kipimo, ndio sababu wakenya kila siku wanasema ninyi ndio mumemfikisha hapo alipo, Tanzania sidhani Kama watu wameshasikia jina la Lupita
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii ni movie ama comedy?Hata wabongo wapo wanacheza movie . Soud anacheza movie China huko wala hana keleleView attachment 2227701
Kuna mahali hapo juu nilisema sisi huwa hatuna tabia ya kuthaminisha vizuri mali zetu. Angalia GDP yetu, inaonekana ndogo lakini tunajenga Bwawa, SGR phase I, barabara na miradi mingine kwa fedha zetu.
Ukijumlisha tuu thamani magari ya Diamond (japo ni liabilty) yanafika zaidi ya $1 mil. Kampuni zake, royalties za kazi zake, brand yake, nyumba n.k jamaa anaweza kuwa na hata $100mil.
Lupita kwenye hizo filamu zake hana royalties, yeye ni mwajiriwa tuu anayelipwa mara moja kwa filamu.
Most of his views come from maids and watchmen. The best 007 can confirm this cause he is a member of night guarding society.Hahahaha, wakenya mnapigana vikumbo kumpa Diamond views nyingi YouTube kuliko nchi yoyote hapa duniani, kwahiyo wakenya wanaongoza duniani kwa kutokustaharabika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We double them in everything, even the total number of schools we double them.You mean the total number of students who sat their national examinations in Kenya is two times the number that sat in Tanzania? 800k in Kenya against 400k in Tanzania?! Kumbe hata shule hawaendi hawa vilaza! 😂 😂 Yani hawa tumewafunika kwa kila kitu