You are one of the primary school dropouts. 🤣 🤣 🤣Ordinary level secondary education ni compulsory Tanzania na ni bure so hakuna mtu mwenye excuse ya kutompeleka mtoto shule kwa sababu yoyote ile
The only reason wakenya mna idadi kubwa ya wanafunzi ni kutokana na population kubwa mliyonayo kuliko Tanzania