chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,951
Alikua anafanya kazi Nairobi that's why, lakini kusema Watanzania wanaosoma Nairobi ni wenye pesa, those in US, Europe and Asia look jokers to you?Oyaa mimi huwa sikurupuki. Ninaposema kwamba Vanessa Mdee anatokea katika familia ya kitajiri najua ninachosema. Baba ya Vanessa Mdee alikuwa ni Balozi kwa jina Sammy Mdee. Sasa Balozi utasema ni mtu masikini?