Hayo mazishi ya Mandela ni tofauti na mazishi ya viongozi wetu, angalia style yake ni tofauti, ila mazishi ya Kibaki mmetuiga kabisa hilo halipingiki.Sasa Tanganyika ya ujamaa ni nchi ya kuiga kwa lolote!? Sema exposure yako ndio iko chini bongolala. You think life revolves around Tanganyika alone. This is a tradition that happens in many countries around the world. Nelson Mandela was treated the same way by South Africans when he died. Sasa na wao pia mliwaiga?
View attachment 2205604View attachment 2205605View attachment 2205606
Hii kasumba ya inferiority complex sijui itawatoka lini!
Tumewaiga kwa lipi? Be more specific. Elezea kwa undani tumewaiga kwa jambo lipi katika mazishi ya kibaki. Leta mpaka na picha. Mimi nikuletee picha ya mazishi ya Jomo Kenyatta 1978 kukuonyesha kwamba sisi tuna tamaduni hii kuanzia 1978. Leta picha Obama tuende kazi.Hayo mazishi ya Mandela ni tofauti na mazishi ya viongozi wetu, angalia style yake ni tofauti, ila mazishi ya Kibaki mmetuiga kabisa hilo halipingiki.
Hayo ni maneno yako co sheria.Ndugu nikupe siri, Uganda haitawahi kuunganisa SGR yao na yenu. Wacha kuota tafadhali.
Jomo Kenyatta c mlitumia style ya China.Tumewaiga kwa lipi? Be more specific. Elezea kwa undani tumewaiga kwa jambo lipi katika mazishi ya kibaki. Leta mpaka na picha. Mimi nikuletee picha ya mazishi ya Jomo Kenyatta 1978 kukuonyesha kwamba sisi tuna tamaduni hii kuanzia 1978. Leta picha Obama tuende kazi.
Hii kitu inapigwa ilipoishia pale Coco Plaza na kuendelea hadi Sea Cliff Hotel pale. Ujenzi unaendelea.
View attachment 2204421
View attachment 2204422
View attachment 2204423
View attachment 2204424
Congo ipo chini ya Tz miaka mingi sana, wanatusikiliza cc kwa kila kitu, rais wa Tz anaongoza pia na Congo.Uhuru amefanya big things for DR Congo since Tshisekedi came to Office. Tshisekedi's first trip in office was to Kenya.
Tz sgr is the longest in Africa....daraja my footLongest railway bridge in Africa.
![]()
Mimi sio mkomunisti kama wewe kwa hivyo sijui style ya China ni ipi. Ndio maana nimekuambia unieleze kwa undani tumewaiga nyie Watanzania kwa lipi.Jomo Kenyatta c mlitumia style ya China.
Hakuna nchi isiyotaka kuunganisha reli na Tanzania, hata Kenya ingependa kuunganisha, tatizo ni "logistic na finance.Ndugu nikupe siri, Uganda haitawahi kuunganisa SGR yao na yenu. Wacha kuota tafadhali.
Kwani Jomo Kenyatta mlimzika?Mimi sio mkomunisti kama wewe kwa hivyo sijui style ya China ni ipi. Ndio maana nimekuambia unieleze kwa undani tumewaiga nyie Watanzania kwa lipi.
Ni kweli Congo wapo chini yenu ndio maana Rais wa Congo amekuja Kenya mara mbili mwezi huu na rais Uhuru alikuwa DR Congo siku mbili zilizopita.Congo ipo chini ya Tz miaka mingi sana, wanatusikiliza cc kwa kila kitu, rais wa Tz anaongoza pia na Congo.
Sawa hapo tuliwacopy wachina sio nyinyiKwani Jomo Kenyatta mlimzika?
Hivi mwenyekiti wa EAC kwasasa ni nani?, hebu jaribu kufuatilia kipindi cha Joseph Kabila (DRC haijajiunga na EAC), mara ngapi alitembelea Kenya na mara ngapi alitembelea TanzaniaNi kweli Congo wapo chini yenu ndio maana Rais wa Congo amekuja Kenya mara mbili mwezi huu na rais Uhuru alikuwa DR Congo siku mbili zilizopita.