Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans mainly follows your musicians. But there's no way you find Kenya naming their streets after those goats. Huko Tanzania you once named a Road after Wanyama🤣🤣🤣
And the next hour was unmounted like it didn't happen 😂😂
So what's now?
 
hvi kati ya tanzania na kenya ipi nchi ya kwanza kua na ferris wheel? hebu niambie hapa na ukidanganya tu nakuwashia moto 🤣🤣🤣
Tanzania hakuna Ferris wheel. wacha kuijiaibisha. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
shp.JPG
 
Ndani ya mwaka mmja tuu wa Samia,Tanzania imefikia mauzo ya bidhaa kwa Nchi wanachama wa EAC kwa zaidi ya dola bil.1 ..

Namba hazidanganyi👇

Screenshot_20220511-092147.png
 
mbona swali unalikwepa sasa 🤣🤣🤣 mumepata ferries wheel moja mushaanza kuchanganyukiwa huku ziko zaidi ya 5 na sio za leo wala jana 😂😂😂
Tuonyeshe hizo ferris wheel tucheke. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
sasa kapunguza nini ?? 😂😂😂😂 angeacha tu

View attachment 2221049
Huu uzushi ni WA mitandaoni,hizo bei ni ruzuku za kipindi kile bei zimeanza kupanda, serikali ilitoa sh.100 ndio ikawa na mchanganuo huo..

Bei ya mafuta inaweza pungua kwa sh.250-300 kwa litre kwa ruzuku ya mwezi mmja kwa hiyo acha kushadidia uzushi wenye mlengo wa chuki kama ulivyosema mwenyewe unamchukia Makamba na Samia.
 
kwani nimekuuliza ww au?? au ww ndio mke wa makamba?? vipi mzee mbona nilishakwambia huo mchezo nimekatazwa kwangu ni mwiko
 
Watu ulaya washatii huko

Wakati utafika Ukraine atazuia Bomba kupita kwake na Russia itabidi aanze kucheka na West wambembeleze Ukraine asikate Gas.UK ndio hana presha kabisa na mambo ya GAS na ndiye mshirika wakweli wa Ukraine.Ujeruma,Austria,Hungary ni waganga njaa na ndio wanaolialia na Gas
 
Back
Top Bottom