Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiki kinakaa kama kiwanda cha kuzalisha umeme kutumia gesi. Nimepata au nimekosea?

hapana. mim ndo nipo gas power plant.. (ila actually tunafanya maintenance kwenye gas power plant ya hiko kiwanda) .. hiko kiwanda tunapofanya side hustle za maintenance services kipo maeneo ya tazara (jina kapuni) [emoji41][emoji385]
 
hii nayo ni kali sana mzee[emoji95].. so mtindo ni ule ule wa rupurupu, yani kugusa mshahara hapana, inabaki tu palepale kwenye benki milele.. hehe., karibu sana kwenye hili jukwaa masera..[emoji38][emoji38]

c/c The best 007

View attachment 2206034

[emoji23]yeah mshahara hatugusi mkuu[emoji23][emoji1787].. ila sio poa kudownload pesa za watu kutoka mtandaon [emoji38][emoji23][emoji23]
 
Hawa ni watu wa opposition, sahii tunaelekea uchaguzi. Maongezi kama haya ni kawaida wakati huu wa campaign. Kwa ground JNIA ni trash hata markings haina.
Kama Ndii ni opposition na huyo Kamau aliyekuwa anampinga Ndii nae ni wa wapi ruling party? Lakini baada ya kutoka kibera he saw a new world different than what he perceived earlier. Uko msemo wa kiswahili usemao "Tembea uone"
 
Unatutisha na Burundi hii moja yenye gdp ya $3 billion?
Sijaongelea Burundi pekee soma vizuri utakuta kuna Burundi, Rwanda, Congo na Uganda huwezi dharau haya masoko na fursa za biashara zilizopo huku wewe pambana na Somalia na Ethiopia huko South Sudan humwezi Uganda kashamkamata kusawasawa ndio maana priority ya Uganda kwenye reli ni up north to south sudan
 
but swali la maana kwangu ni....... how many lanes on average.?? coz kama sio atleast 6 hakuna kitu tunaongea
Mzee barabara kubwa za DSM hata kabla ya BRT hiyo kimara kibaha high way zilikua ni four lanes pamoja na hizo feeder roads ilpokuja BRT system zikatoka four lanes to six Lanes(the additional of two dedicated lanes for BRT), barabara ni six Lanes mzaee hii hapa morogoro road 👇six lanes
94199002_z(0).jpg
6175fad0_z.jpg
mydaressalaam_1641946306985355.jpg
magomeni Morocco 👇six lanes
rsz_1brt_dar_se_laam(0).jpg
DART-BRT-Dar-Es-Salaam.jpg
samnujoma road 👇
17-1-scaled.jpg
Screenshot_20211122-151336_1.jpg
kilwa road six Lanes under construction 👇 two dedicated lanes for BRT again
ikulu_mawasiliano_1638620553691147.jpg
mwenge Morocco six Lanes under construction 👇 two dedicated lanes for BRT
moizhusein_1642362358564836.jpg
.. mind you barabara zote kubwa DSM ni six lanes mzee kwasababu barabara zote kubwa zipo under construction kuwekewa BRT lanes, hapa barabara mbili nimekosa picha zake (magomeni ilala boma na machinga complex keko to mbagala zote hiz zipo underway (additional of BRT lanes) .. nyie endeleeni kupiga kelele na thika high way na NAIROBI express way..sie tunachanja mbuga hatuwasubiri, Note, DAR is for BRT system
 
Even those UN bodies which ranked Tanzania highly and Kenya poorly on political stability are blind?. The problem of people are thought Tribalism within their families by day one after their birth days is to think all other people behave like them

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The same UN bodies you dispute their reports everytime they place Kenya ahead of your shithole country ama zingine?
 
Mbona tunazo nyingi tu wewe unajua majeshi yetu yanaishi wapi ? Hizo kota tunazo nyingi tena nyingi sana
What a lame excuse! mmejaza jiji lenu na uswazi mkiona wengine wakipost nyumba za maana mnatafuta pa kutorokea. Endeleeni na tamaduni yenu ya Swahili hovels we don't even care
 
Back
Top Bottom