Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Apo ghana atuache tunajambo letu
 
We don't assemble busses in Tz but we own them in larger number than u guys do, 100+ bus companies 0 bus assembling plant.. nyie sasa u can't afford, 1 bus assembling plant QUOTE]Mkuu tunazo assembly plant apo pwani
 
By the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.
Cc Simon.
Mpka july itakuw close to iyo expectation yako,
 
Nigeria wameshatinga $500 billion Jesus Christ. Halafu hapa JF huwa mnaichukia Nigeria sijui ni kwa nini. Wale watu wako aggresive sana mimi sina tatizo nao.
Akuna anae bishia ukubwa wa uchumi wao ila impact yake kwa ground ndio shida
 
Unajua mana ya kutengeneza ww? Au unabwatuka tuu...?
Yes tunatengeneza limousines.

Image
 
Yes tunatengeneza limousines.

Image
Wacha ujinga , so unajifan mjanja unajificha nyuma ya neno limousine? Swali ni nyie mnatengeneza range rover limousine from top to bottom?manake mpka engine mnazalisha sio kukat chases na kuiextend ndio kunda gari zime we kizuu
 
Wacha ujinga , so unajifan mjanja unajificha nyuma ya neno limousine? Swali ni nyie mnatengeneza range rover limousine from top to bottom?manake mpka engine mnazalisha sio kukat chases na kuiextend ndio kunda gari zime we kizuu
Nimesema tuna tengeneza limousine.

Image
 
Back
Top Bottom