Kama umewahi kuskia "white elephant " Sasa ndo hii
You are comparing Tanganyika's tallest structure with a simple building in South C!!?! Hata huna aibu bongolala.Tanzania's wannabes
Dwarfs as your thinking capacities
View attachment 2220628
View attachment 2220631
Picha hii nimeitoa kwenye comment section ya hio tweet. Nimeisave hii picha. Hahaha
View attachment 2220895

😂 😂 😂 😂 😂Kama umewahi kuskia "white elephant " Sasa ndo hii
Nakuambia Wakenya wanapiga Waganda sio mchezo.
Kuna Battle la Kenya vs Uganda linaendelea huko twitter kutumia hashtag #KenyaVsUganda. Sasa kuna Mkenya kasema kwamba Watanzania wangependa kushiriki katika hilo battle ila hawaelewi kiingereza. Nakuambia Watanzania wamekasirika kwenye comment section.

Kwani utakuwa mtanzania wa kwamba kukana ukweli Kuhusu nchi yenu? Mbona tushawazoea?Mbona hujiamini, Tangu lini Tz ikawa na njaa, ulisikia wapi.
Kabisa mkuu.. Tusaidiane kurefusha kambaKwanza kwa kipindi ichi ambacho kila mtu anajizawadia connection muhimu sana![]()
Kuna Battle la Kenya vs Uganda linaendelea huko twitter kutumia hashtag #KenyaVsUganda. Sasa kuna Mkenya kasema kwamba Watanzania wangependa kushiriki katika hilo battle ila hawaelewi kiingereza. Nakuambia Watanzania wamekasirika kwenye comment section.
Kuna Battle la Kenya vs Uganda linaendelea huko twitter kutumia hashtag #KenyaVsUganda. Sasa kuna Mkenya kasema kwamba Watanzania wangependa kushiriki katika hilo battle ila hawaelewi kiingereza. Nakuambia Watanzania wamekasirika kwenye comment section.
Si bora wewe umekutana nao huko nje.Pitia border ya Mulongo(Karagwe tz) na mkoa wa Mbarara(upande wa Ug) pale kuanzia Kikakati mpaka Mbarara mjini ni Kinyankole tu ukiongea Kiingereza wengi hawakuelewi.Huyo
Huyo alieandika 'Tanzania's want to join.....' yeye nae anajua Kiingereza?!
Nimeishi na Wakenya na Waganda nje ya Afrika wengi wana Kiingereza kibovu tu
Tanzania is a village in southern Kenya. 🤣 🤣 🤣
hawa ni kawaida kuogelea! See the just launched Nairobi Express Highway!I was thinking that one is a meli, kumbe the terminus is sinking.