Tatizo yeye na hata JPM hawajui maana kamili ya Taasisi ya Urais. Kipindi cha Kikwete na Mkapa ilikuwa nadra sana maamuzi kufanyika halafu kutenguliwa maana Kikwete na Mkapa walikuwa watu wa consultations kabla ya kuja public! Samia anapaswa kujifunza hapo!Hiv ni rais mwenyewe au washauri wake ndo wabovu? Sielew sielwe bado 😅
Huoni wanakula
Kwani ako nazani TZ wamesoma basi??...hata hawajui Nairobi ako kipande gani ya EA. najua ako najidai na visiwa vya hovyo sana, chukua mfano kakisiwa ka Bongoyo sasa ukienda kule utacheka mpaka ujinyee!!! ...kuna mapungufu yafuatayo;sasa Dar ni coastal city na Nairobi ni inland city, ulitegemea Nairobi iwe na kisiwa kivipi
Ukitaka kujua reality ya mkenya nenda nae Kwa ground!![]()

Hivi kazi ya Majaliwa ni kubweka tu? Si kufukuza wahusika baada ya ripoti ya CAG?
Huu urefu wa kamba yao utatuumiza sana Watanzania.Walikula sawa na urefu wa kamba zao
Kabisa maana wako kasi sana, hawa wachina bila kuwasimamia itatugharimu. Hata wakijenga Majengo huwa wanajenga mabox baada ya muda ni aibu.Ebu angalia MPINGO HOUSE maliasili ni uchafu ule.Utaona ile ya makutupora Tabora ikiitangulia mwanza isaka
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Duuuuuh huyu wa wapi wakuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ako nazani TZ wamesoma basi??...hata hawajui Nairobi ako kipande gani ya EA. najua ako najidai na visiwa vya hovyo sana, chukua mfano kakisiwa ka Bongoyo sasa ukienda kule utacheka mpaka ujinyee!!! ...kuna mapungufu yafuatayo;
1.kwanza hakuna Bandari, mnateremka kwa Deep ocean! maji za kiunoni! au Usawa wa shingoni kabisa!
2.Maji kupwa na kujaa ni lazima ukimbizane nayo sivyo laa!! utaogelea kuitafuta boat ilipo!! hakuna raha! km hujui kuogelea hakuna msaada waweza kuupata kirahisi ivo!
3.Boat ikikuacha utalala kwenye miti, mpaka kesho yake! hakuna hotel wala nyumba ya wageni! ni vibanda vya chipis na mihogo tu!
4.kama hujala mapema kwa hotel km sea cliff!! utashindia mihogo michungu kisiwani Bongoyo!, wakora wanakutangazia kabisa bila aibu eti hiyo si chungu!
5.Hakuna ustaarabu wowote kule, ni wezi wa wazi balaa! kutoka pande ya Mbagala!
6.ukienda kule uwe tayare kwa lolote!...maskini wanajipendekeza sana, hasa ukiwa mgeni!! wanataka connections za kutoka kwa lazima.
7.Boat zaenda kule zaweza zimika any time zikiwa katikati ya Bahari!..pia zimetoboka matundu kubwa waweza teleza kidogo tu unatumbukia Baharini! yaani ni usafiri usiyo Rafiki kivilee!
8.Bei aghali kwenda huko!..usilewe na sifa za watanzania vilaza!! ambao hawajui starehe za sisi wenye pesa!
9.Ukitangaziwa huko kuna utalii usiende km weye Mgeni utajuta mambo za huko!
10.Utaishia kuona vibanda vya makuti tu! tena havina chakula kizuri, bali ni upepo wa joto, miti, Miamba na Mawe tu ndo yako huko! hata kuingia huko ni mikiki mikiki, ile miti imeshonana sana, utalala pwani tuuuu!! na kula hiyo mihogo michungu!
Kifupi utacheka mpaka uzimie na km unafanya utalii Bongo na umeanzia hapa, na kuhakikishia Kamwe hutakaa uendelee na utalii Bongo!
Tuombe uzima mkuu na iwe hivyo isitokee tatizo na kukwama.Mradi wa mto msimbazi wametangaza unaanza rasmi mwezi wa saba mwaka huu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Punda wameenda kumuona daktari.![]()
Unapotumia neno "ako" unamaanisha nini?, hicho sio Kiswahili tunashindwa kukuelewaKwani ako nazani TZ wamesoma basi??...hata hawajui Nairobi ako kipande gani ya EA. najua ako najidai na visiwa vya hovyo sana, chukua mfano kakisiwa ka Bongoyo sasa ukienda kule utacheka mpaka ujinyee!!! ...kuna mapungufu yafuatayo;
1.kwanza hakuna Bandari, mnateremka kwa Deep ocean! maji za kiunoni! au Usawa wa shingoni kabisa!
2.Maji kupwa na kujaa ni lazima ukimbizane nayo sivyo laa!! utaogelea kuitafuta boat ilipo!! hakuna raha! km hujui kuogelea hakuna msaada waweza kuupata kirahisi ivo!
3.Boat ikikuacha utalala kwenye miti, mpaka kesho yake! hakuna hotel wala nyumba ya wageni! ni vibanda vya chipis na mihogo tu!
4.kama hujala mapema kwa hotel km sea cliff!! utashindia mihogo michungu kisiwani Bongoyo!, wakora wanakutangazia kabisa bila aibu eti hiyo si chungu!
5.Hakuna ustaarabu wowote kule, ni wezi wa wazi balaa! kutoka pande ya Mbagala!
6.ukienda kule uwe tayare kwa lolote!...maskini wanajipendekeza sana, hasa ukiwa mgeni!! wanataka connections za kutoka kwa lazima.
7.Boat zaenda kule zaweza zimika any time zikiwa katikati ya Bahari!..pia zimetoboka matundu kubwa waweza teleza kidogo tu unatumbukia Baharini! yaani ni usafiri usiyo Rafiki kivilee!
8.Bei aghali kwenda huko!..usilewe na sifa za watanzania vilaza!! ambao hawajui starehe za sisi wenye pesa!
9.Ukitangaziwa huko kuna utalii usiende km weye Mgeni utajuta mambo za huko!
10.Utaishia kuona vibanda vya makuti tu! tena havina chakula kizuri, bali ni upepo wa joto, miti, Miamba na Mawe tu ndo yako huko! hata kuingia huko ni mikiki mikiki, ile miti imeshonana sana, utalala pwani tuuuu!! na kula hiyo mihogo michungu!
Kifupi utacheka mpaka uzimie na km unafanya utalii Bongo na umeanzia hapa, na kuhakikishia Kamwe hutakaa uendelee na utalii Bongo!
Huyu nahisi atakua comedian 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unapotumia neno "ako" unamaanisha nini?, hicho sio Kiswahili tunashindwa kukuelewa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tumia lugha unayo iweza tafadhali...wacha kubaka lugha kama hiviiKwani ako nazani TZ wamesoma basi??...hata hawajui Nairobi ako kipande gani ya EA. najua ako najidai na visiwa vya hovyo sana, chukua mfano kakisiwa ka Bongoyo sasa ukienda kule utacheka mpaka ujinyee!!! ...kuna mapungufu yafuatayo;