tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Haya tumeyaongea sn humu ndani, huenda mama huwa anapita humu kmy kmy.

Haya tumeyaongea sn humu ndani, huenda mama huwa anapita humu kmy kmy.

Mchina ana mdharau sana mkunga , kwenye fly over mpya ya Chang'ombe wameweka drainage system nzuri sana . Sikupiga picha tu. Well organized drainage system . Mtu akipita pale apige picha kuonyesha kuwa wachina wanawaona wakunya wajingaWe call this lack of skills, no wonder Tz leads EA in number of registered professional engineers, we cant tolerate this stupidity at all.View attachment 2209973
Upo hapo hapo wala hauko nchi nyingineAaaaahhhh au niko nchi ingine.
















Ni makosa nikiweka jina la kizungu? Ukiongea hivi mtu hawezi jua una jina la kizungu. Kwanza Watanzania mna hii tabia ya kujiita majina mawili ya Kiingereza bila jina la kiafrika Sana.🤣🤣🤣Mbona uliyoweka hapa hukusema Nunga ila umeweka majina ya kuzungu ama ni kasumba ndio inakusumbua.
Ukiwa unagoogle uwe unaangalia na muda basiView attachment 2210042View attachment 2210043
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app



Tanzania hawana pesa ya kununua plot Nairobi, usiwacheke. By the way Uganda wana embassy kwenye compound yake. Hata Somalia wana embassy ndani ya compound yake. Lakini lazy bones wanajaribu kujenga skyscraper Nairobi na hata kujenga embassy imewashinda wamebaki kurent 9th floor ya Reinsurance plaza.Kenyan Embassy in Dar es Salaam
View attachment 2209817View attachment 2209818
On the other hand, Tanzanian High Commission in Kenya is located on the 9th floor of this office building in central Nairobi
View attachment 2209814
View attachment 2209826
I don gerrit
www.constructionkenya.com
Picha chafu za Dar wanazoweka humu zote ni za 90s. Ila za ka Nairobi ninaweza nikaweka hata za leo hii kama wanabisha wajikune waone.Ukiwa unagoogle uwe unaangalia na muda basiView attachment 2210042View attachment 2210043
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Bado tumewaoa, na tutaendelea kuwapiga kama desturi hata mcheze na Germany au Italy. 🤣 🤣 🤣 🤣 Kichapo ni ile ile.Hiyo utajua wewe ss, ninachojua Stars ni miongoni mwa timu chache barani Afrika kucheza na Brazil. Kalilie twitter sasaView attachment 2210038
Unaumia, mlianza na kusema ni renders, sahii munakazana na picha za under construction, finally itakua acceptance baada ya kazi kukamilika. Tushawazoea.
Wahindi wanazaliana sana alafu wanabaguagana sana yani tajiri hachangamani na fukara...ni ajabu mtu kama Mukesh Ambani kua na utajiri wa zaidi ya $100B na yule Gautam Adan kua na utajiri wa $100B kwenye nchi ambayo per capita inacheza $2000 Ni upuuzi....wajifunze kwa wachina,wale jamaa wanachapa kazi sio mchezoHuyu muhindi analalamika kwa uchungu kwamba Bangladesh ambayo ilikuwa nchi masikini sana miaka kumi iliyopita sasa imeipita India kwa per capita income.






Tony ukuje kwa ndugu zakoMimi I am happy coz gdp per capita ya Kenya inapanda very fast. Sasa hivi iko $2,200 na nakumbuka by 2013 ilikuwa around $1,200. So in less than 10 years imeongezeka almost double. No other country in Africa, per capita yake imeongezeka faster than ya Kenya in the last 10 years.
Hii Airport mtu anaidharau kwa sababu zipi?Kuna watu hawafai kua kwenye hii battle wanapenda baseless argumentsKuna punda alikua anasema kunda udongo?
View attachment 2209977
View attachment 2209978
View attachment 2209979
Lakini tumewapiku kwa gdp kwa sasa na iyo ndio ilikua kiu yetu...inawezekana wakati wao wameegemea huko sisi na sector zingine tunapaa...kama bidhaa za viwanda,Mazao mifugo nkGhana inaexport gold nyingi hata kushinda SA. Ghana is Africa's biggest exporter of gold. Halafu pia wanaexport crude oil 200,000 barrels per day.






























