Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hii picha ya U/C mbona kali sn, ckuwahi kuiona aisee [emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]View attachment 2209913

Kuna punda alikua anasema kuna udongo? [emoji1787]

IMG_6626.jpg

IMG_6625.jpg

IMG_6627.jpg
 
Ebu waza upya LNG 40BIL
Hii lng wacha kuitaja. Dam ya Ethiopia ujenzi ulishaanza na turbine mbili tayari zinazalisha umeme. Huwezi kucompare dam ya Ethiopia ambayo ujenzi unaendelea na hata turbines mbili zimeanza kuzalisha umeme na lng project ambayo ipo kwenye makaratasi. Hio ni tabia mbaya sana.
 
Tanzania ndio only country in East Africa ambayo unaweza kulala maskini na kuamka tajiri mineral wealth wananchi wameshirikishwa through artisanal mining, ardhi mpaka leo iko cheap and available to all, arable land iko ya kutosha, better health services, free education, life expectancy iko juu. That is what we call development. Development without human development sio development at all.
Boss hata kwenye HDI Kenya imewapiga vibaya. Hakuna pa kutokea. Tumewapiga kote kote. Nenda kaangalie HDI ya Kenya kisha uangalie ya TZ.
 
Sasa hizi taasisi za wazungu usipotumia pesa kununua kitu unaambiwa wewe ni masikini unaishi chini ya dola moja kwa siku.

Mfano vijijini unakuta mtu ana nafaka zake, amepanda mboga mboga na anafuga kuku tena wa kienyeji, akitaka mboga anachinja kuku anapika na anachota zake unga ndani anasonga ugali au mchele anapika wali halafu taasisi ya wazungu inakuja kukuambia ni masikini na anaishi chini ya dola moja!
Kuna ndugu mkoa bado hawajavuna lakini wanachakula cha mwaka jana kingi sana . Sasa hivi wanakula mahindi mabichi tu toka shamba kuchoma au kuchemsha
 
I had that some Tz ambassadors have their residence in Nairobi
Better yet Tanzanian embassy in Kenya has come up with a brilliant idea to build a 20 storey skyscraper in Nairobi to collect rent and make some money. This is clear evidence that Tanzanians see Nairobi as their New York
 
Dar es salaam is synonymous to Jerusalem both mean City of peace, place of peace, haven of peace etc.

Dar es salaam is more swahili than arabic though it derived its meaning from Arabic.
Dar es Salaam is an Arab word. There are many Dar es Salaams in Arab speaking countries. There is a Dar es Salaam in Egypt, Somalia, Brunei, Iran. Sijui mbona mnapenda kupingana vitu obvious.
 
Huwezi compare 5 time world champion na nyinyi. Wacha jokes.
Hiyo utajua wewe ss, ninachojua Stars ni miongoni mwa timu chache barani Afrika kucheza na Brazil. Kalilie twitter sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20220501-182006.jpg
 
Back
Top Bottom