Why can't they do the same with other embassies in this region especially Tanzania where some embassadors representing their countries in Tanzania opt to reside in Nairobi?Ujuaji mwingi akili kisoda, Dar es salaam imetokana na maneno ya kiarabu "Bandur al salaam"
Hakuna lugha inayojitegemea kwa 100%
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Instead of working hard nyinyi mnangoja bahati nasibu😂😂Tanzania ndio only country in East Africa ambayo unaweza kulala maskini na kuamka tajiri mineral wealth wananchi wameshirikishwa through artisanal mining, ardhi mpaka leo iko cheap and available to all, arable land iko ya kutosha, better health services, free education, life expectancy iko juu. That is what we call development. Development without human development sio development at all.
Hata nyinyi mko hovyo tu kama haoMbona wako watu wana bahati nasibu kubwa tuu lakini wako hovyo sana (Congo) Ni mipango sahihi tuu ndio cha msingi
Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?😂😂Dar es salaam is synonymous to Jerusalem both mean City of peace, place of peace, haven of peace etc.
Dar es salaam is more swahili than arabic though it derived its meaning from Arabic.
Nmefatilia specie zote za hao Duikers na hakuna hata moja inayopatikana specifically Kenya, Sas wew utuambie ni spiece gan hyo inayopatika Kenya peke yake.I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.[emoji706][emoji706]
Huyo anajifariji tu hakuna mnyama apatikane Kenya asiwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima, hilo linasemwa kila siku na ndiyo maana Tz is the epicenter ya utalii duniani.Hebu tutafakari kidogo. Hawa wanyama kama wanapatikana Kenya tuu mbona sasa wana majina ya kizungu?
Ss kama hujitoshelezi kwa chakula unawezaje kuji compare na mtu anayejitosheleza kwa chakula? Huoni aibu? Wakuu njoeni muone Mungiki kakubali huku kwamba Tz hakuna njaa ila kwao kuna njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Propaganda..... Ni vile Tanzania wameridhika Na umaskini wao they never complain. Kenyans complain alot till it made Tanzanians think they okay... But the bitter fact is we better... The only thing you better and I agree is your food basket is more stable than ours the rest you just massaging your ego
Hakuna na haitatokea mnyama awepo Kenya na asiwepo Tz, ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima nakuambia hilo na tafuta pa kuliweka kama kichwani au matakoni.Mnaye hapo bongo? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi hadi nimemdaka huyu mwendawazimu 'jacobo' wa home area mashinani, kwenye GoogleStreetView..... nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2209613View attachment 2209614
Hakuna na haitotokea Kenya iwe na mnyama alafu asiwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima.
Tatizo lenu ni uchafu, hyo mitaa uliyoweka ambayo kila siku mnapost hiyo hiyo ni michafu kupita maelezo, hata wewe mwenyewe umeshawahi kuchukua post yangu ya humu jukwaani ukaipeleka twitter ukilia kuhusu uchafu uliopitiliza. Mnachofanya ni kuweka lipstick zen mnapost, huo ni upumbavu ndio maana on ground hamtoacha kulilia mitaa ya wenzenu tuliostaarabika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ss kama hujitoshelezi kwa chakula unawezaje kuji compare na mtu anayejitosheleza kwa chakula? Huoni aibu? Wakuu njoeni muone Mungiki kakubali huku kwamba Tz hakuna njaa ila kwao kuna njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo lenu ni uchafu, hyo mitaa uliyoweka ambayo kila siku mnapost hiyo hiyo ni michafu kupita maelezo, hata wewe mwenyewe umeshawahi kuchukua post yangu ya humu jukwaani ukaipeleka twitter ukilia kuhusu uchafu uliopitiliza. Mnachofanya ni kuweka lipstick zen mnapost, huo ni upumbavu ndio maana on ground hamtoacha kulilia mitaa ya wenzenu tuliostaarabika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]