Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kupata street lights kama hizi Tz ni balaa

1651581304865 .jpg


1651581312180 .jpg
 
Dar es salaam is synonymous to Jerusalem both mean City of peace, place of peace, haven of peace etc.

Dar es salaam is more swahili than arabic though it derived its meaning from Arabic.
Achana naye huyo anaonea wivu jina la mji wetu limekaa kiutamu kuliko jina la shit hole town yao wanayoita city.
 
Sorry gal Tz hairuhusu omba omba, so hao wameona waje kwa ndugu zao cz even the govt is also known as "selikari ya ombaomba"
Say anything you want coz it won't change the fact that there are Tanzanian beggars on our streets
 
Nmefatilia specie zote za hao Duikers na hakuna hata moja inayopatikana specifically Kenya, Sas wew utuambie ni spiece gan hyo inayopatika Kenya peke yake.

Ila kuna specie moja tu ya hao duiker inapatikana Tanzania peke yake. Haya mpira mpira unachezwa golini kwakoView attachment 2209785

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Nilishasema hakuna na haitotokea Kenya iwe na mnyama alafu asiwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima, hilo liwekwe kichwani au wakishindwa waliweke matakoni.
 
Sorry gal Tz hairuhusu omba omba, so hao wameona waje kwa ndugu zao cz even the govt is also known as "selikari ya ombaomba"
Wewe soja acha zako bana, ingekuwa Tz hairuhusu omba omba hawa watu wenu hawangekuwa wanaomba hapo barabarani.

images (35).jpeg
 
Watanzania wachache wanatudhalilishaa, kuchukua madebe huko
We nae unampa attention huyo mpumbavu? Humu mpk wenzake wanamuona kituko, tangu lini Watz wakanunue buses kenya, yani wao watengeneze buses ambazo hawatumii uliona wapi? Tz iko mbali sn upande wa ma bus huwezi kulinganisha na nchi yoyote hapa Afrika labda kdg SA, na buses nyingi zinatoka China directly na zinaletwa kwa meli. Ss bus itoke Kenya alafu ipakiwe kwenye meli ili wavumbue nn?
 
Nakubali maana ukiconvert asali na matunda ni gharama sana...jamaa wanakula first class foods

Sasa hizi taasisi za wazungu usipotumia pesa kununua kitu unaambiwa wewe ni masikini unaishi chini ya dola moja kwa siku.

Mfano vijijini unakuta mtu ana nafaka zake, amepanda mboga mboga na anafuga kuku tena wa kienyeji, akitaka mboga anachinja kuku anapika na anachota zake unga ndani anasonga ugali au mchele anapika wali halafu taasisi ya wazungu inakuja kukuambia ni masikini na anaishi chini ya dola moja!
 
Back
Top Bottom