Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi vile Simba ana jina la kizungu lion inamaanisha anapatikana England ama unajaribu kusema nini? Ama vile Dar es Salaam ina jina la kiarabu inamaanisha inapatikana uarabuni?
Shida yangu sio kupatikana kenya au wapi we have those animals only in Africa why wazungu wawape majina yao na sisi tukubali tuu. Ndio maana nikasema tutafakari hili kidogo.
 
Nairobi hosts some very beautiful embassy buildings, our people are very skillful.

Swiss Embassy
Image

French Embassy

Image

Austrian Embassy

Image

Former Australian High Commission

Australian High Commission
 
Shida yangu sio kupatikana kenya au wapi we have those animals only in Africa why wazungu wawape majina yao na sisi tukubali tuu. Ndio maana nikasema tutafakari hili kidogo.
Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.
 
Mbona wako watu wana bahati nasibu kubwa tuu lakini wako hovyo sana (Congo) Ni mipango sahihi tuu ndio cha msingi
Huwezi ringa juu ya kitu kama hicho. There's a higher probability of someone winning a jackpot than a random person mining a gemstone worth millions of dollars otherwise kila Mtanzania angekua milionea.
 
Nairobi hosts some very beautiful embassy buildings, our people are very skillful.

Swiss Embassy
Image

French Embassy

Image

Austrian Embassy

Image

Former Australian High Commission

Australian High Commission
ur people?? ooh boy... i won't surprised if foreign constructors came to build them!
 
Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.
Yan bdo unakazania huyo mdudu anapatikana Kenya pekee..? Yupo sehemu kibao mpaka tz yupo
Screenshot_20220503-130526.jpg

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Yan bdo unakazania huyo mdudu anapatikana Kenya pekee..? Yupo sehemu kibao mpaka tz yupoView attachment 2209711

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.🚮🚮
 
I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.
Unaleta maneno bila ushahid na unataka tukuamini?

Haya leta ushahid hao Mt Kenya duiker ni specie tofaut na hao wengine

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.
Mbona uliyoweka hapa hukusema Nunga ila umeweka majina ya kuzungu ama ni kasumba ndio inakusumbua.
 
Nairobi hosts some very beautiful embassy buildings, our people are very skillful.

Swiss Embassy
Image

French Embassy

Image

Austrian Embassy

Image

Former Australian High Commission

Australian High Commission
I had that some Tz ambassadors have their residence in Nairobi
 
Back
Top Bottom