Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nakuru directly from GoogleStreetView
Screenshot_20220502-211109_Gallery.jpg
 
Hatuchikiani bhuana, nyie ni ndugu zetu kabisa, sema tatizo ni hii mipaka ya wazungu. Battle la maendeleo ni zuri inasaidia kupush kila mmoja wetu fazeee [emoji38]
Sipendi vile mnataka kuelewana !mbona mnataka kumaliza Battle mapema na ata express way bado haijaanza kufanya kazi
 
Yes inaenda Eldoret kama tu KQ, Ethiopian na Etihad. Unapinga kama nani?

Emirates Airlines, 30th Year of Profits
Hiyo ni Cargo flight sio passenger, punguza ujinga

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
projection tu in 2025
[emoji1241]$102B vs [emoji1139] $135B
we really need to plan and implement the best strategic development projects to speed up the growth of our economy. we can close this gap
View attachment 2208995
View attachment 2208996
Tena ukiangalia mwisho wa prediction we are real closing ukiangalia 2027 ni 121+bil against 155+bil, tuki fanya implementation nzuri ya mipango yetu Tz ipo kweny njia nzuri, namini tutafik mapema km serikali na wananchi kutakuw na mipango shirikishi ya kiuchumi
Screenshot_20220502-220848.jpg
Screenshot_20220502-220809.jpg
 
Hata nimeshangaa kwamba uchumi wao ulikuwa licha ya wao kupigana vita kikali vya kuharibu mali. Vita hivyo viliharibu mashule, mahospitali na kadhalika. Siamini hii data ya Ethiopia.
Ilikuwa kazi ya Meles Zenawi hiyo
 
The problem with you unaongelea what you are not sure of. Sasa ukiambiwa to provide the evidence of what you are saying will do it?
Unajua wewe dogo hujui vitu vingi sana wewe cheza na test tube zako tuu huko useparate serum
 
The problem with you unaongelea what you are not sure of. Sasa ukiambiwa to provide the evidence of what you are saying will do it?
Embu pitia hiyo link utoe matongotongo kwanza na uache ubishi wa kishamba.

projection tu in 2025
[emoji1241]$102B vs [emoji1139] $135B
we really need to plan and implement the best strategic development projects to speed up the growth of our economy. we can close this gap
View attachment 2208995
View attachment 2208996
The gap is a non starter mpaka hapa tulipo maisha ya mtanzania mmoja mmoja ni bora sana ukiconpare na wao.
 
21 April 2022

EXPLORING THE WORLD'S MOST LUXURIOUS ABANDONED CITY IN DAR ES SALAAM, TANZANIA

Before abandoned Dege Eco village was designed to be a satellite township of Dar es salaam, being built on an area covering 300 acres at Kigamboni. A mixed use residential project addressing all segments of society, from high end to medium, as well as those who need affordable housing

Source : Menny Terry
 
Dar es Salaam, Tanzania

THE MOST BEAUTIFUL FLYOVER IN TANZANIA

the $45 million flyover erected at the Tazara intersection with Mandela express way in Dar es Salaam Tanzania , which was notorious for traffic congestion, offers a big relief to motorists passing through the junction of the roads.

Source : Menny Terry
 
huu mwaka sijabambika aky!. ati kenya now at no.7.!! at 114b only! me i had projected about +120b.. have we stagnated! ama bado ni ripple effects za corona.?? hivi angola imetoklezea na wapi?. ama ni story na mafuta jili ya ukraine russia war.!??🤔 but will it be sustainable in the years to come.?? hio speed ya ethiopia nayo.!?, yani 105b frm 93b ivo tu.! na tz nayo no.9! wame add aje 10b! within no tyme?. as in, we are now only separated by 1 country... ethiopia............🤔 damn it.!

think we should up our game this year else...

Screenshot_20220503-043542_Chrome.jpg
Screenshot_20220503-043603_Chrome.jpg
Screenshot_20220503-043636_Chrome.jpg
Screenshot_20220503-043658_Chrome.jpg
 
huu mwaka sijabambika aky!. ati kenya now at no.7.!! at 114b only! me i had projected about +120b.. have we stagnated! ama bado ni ripple effects za corona.?? hivi angola imetoklezea na wapi?. ama ni story na mafuta jili ya ukraine russia war.!??🤔 but will it be sustainable in the years to come.?? hio speed ya ethiopia nayo.!?, yani 105b frm 93b ivo tu.! na tz nayo no.9! wame add aje 10b! within no tyme?. as in, we are now only separated by 1 country... ethiopia............🤔 damn it.!

think we should up our game this year else...

View attachment 2209322View attachment 2209323View attachment 2209324View attachment 2209325
Mimi I am happy coz gdp per capita ya Kenya inapanda very fast. Sasa hivi iko $2,200 na nakumbuka by 2013 ilikuwa around $1,200. So in less than 10 years imeongezeka almost double. No other country in Africa, per capita yake imeongezeka faster than ya Kenya in the last 10 years.
 
Gdp per capita ya Uganda ni $1,060 na ya Ethiopia ni $1,039. Kwa hivyo pia gni per capita ya nchi hizi mbili ziko around that level. Kulingana na WB, ili nchi iwe middle income lazima iwe na gni per capita ya around $1,080. So hizi nchi mbili zinakaribia kuwa middle income. Uganda watakuwa middle income in the next 3 years. Ethiopia wanapigana, wao mambo yao sijui.
 
Hakuna mnyama yeyote ambaye yupo Kenya akakosa kuwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima.
Northern White Rhino zimebakia mbili tu duniani na ziko Kenya.
 
Back
Top Bottom