The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Diesel SGR to no where 




















🤮🤮 DAR is a slum.















By the way these streets are flooded sijui kama unaeza ona? Sijui kama wanatumia boat wanapoenda kununua mkate dukani?Wapi aerial za TV?🤣 🤣 🤣 🤣 Oooohhh nilikua nimesahau hamna stima.🤣🤣🤣
![]()







Hapa ndio Brazil Ilibadilika na kuwa BRAZI7.Hizi ni nguzo za nini?Wapi aerial za TV?🤣 🤣 🤣 🤣 Oooohhh nilikua nimesahau hamna stima.🤣🤣🤣
![]()
Meanwhile, Nairobi when it rainsBy the way these streets are flooded sijui kama unaeza ona? Sijui kama wanatumia boat wanapoenda kununua mkate dukani?![]()
Badala ya BRAZIL hiyo L ikapinduka ikawa hivi BRAZI7Hapa ndio Brazil Ilibafilika na kuwa BRAZI7.












Kwani Nairobi ni kimasai? Au unataka kusemaje?Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?![]()
Bus terminals za Nairobi, cjui wanapata wapi ujasiri wa kujilinganisha na Tz.View attachment 2210070View attachment 2210071View attachment 2210072View attachment 2210073



I am not suprised kwa upeo wako mdogo wa kufikiri only bright brains will understand what I said.Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?![]()









Nimeshangaa kwamba per capita ya Kenya imeshaifikia ya India. Kenya ina per capita ya $2,200 na India ina per capita ya $2,300. Wao walipata uhuru 1947 na Kenya ilipata uhuru 1963. Kuna kipindi cha zaidi ya miaka kumi in the 1990s ambapo uchumi wa Kenya ulikuwa umedhoofika sana na kupata negative growth. Sasa ni muda tu kabla hatujawapita hawa watu kwenye per capita income. Wanacheza sana. Wana majirani matajiri kutushinda sasa mbona wasitrade na wao? Japan yupo hapo karibu, Singapore yupo hapo mlangoni mwao, South Korea yupo kilomita chache karibu na kwao, China ni jirani kabisa sasa wanakwama wapi? Angalau nchi za Kiafrika jirani zetu ni nchi za kiafrika ambazo zote ni masikini tunaweza kujitetea kidogo.Wahindi wanazaliana sana alafu wanabaguagana sana yani tajiri hachangamani na fukara...ni ajabu mtu kama Mukesh Ambani kua na utajiri wa zaidi ya $100B na yule Gautam Adan kua na utajiri wa $100B kwenye nchi ambayo per capita inacheza $2000 Ni upuuzi....wajifunze kwa wachina,wale jamaa wanachapa kazi sio mchezo
Vipi maendeleo, unahisi mnawakaribia?Nimeshangaa kwamba per capita ya Kenya imeshaifikia ya India. Kenya ina per capita ya $2,200 na India ina per capita ya $2,300. Wao walipata uhuru 1947 na Kenya ilipata uhuru 1963. Kuna kipindi cha zaidi ya miaka kumi in the 1990s ambapo uchumi wa Kenya ulikuwa umedhoofika sana na kupata negative growth. Sasa ni muda tu kabla hatujawapita hawa watu kwenye per capita income.
Rangi kama shanga za kiunoni za kina mama 😁😁PR🇰🇪DLY 🇰🇪
![]()