Ndio maana nikamuuliza Nairobi ni neno la kimasai naona hajajibu mpaka sasaAchana naye huyo anaonea wivu jina la mji wetu limekaa kiutamu kuliko jina la shit hole town yao wanayoita city.



Ndio maana nikamuuliza Nairobi ni neno la kimasai naona hajajibu mpaka sasaAchana naye huyo anaonea wivu jina la mji wetu limekaa kiutamu kuliko jina la shit hole town yao wanayoita city.



Asali matumda maziwa nyama etcNakubali maana ukiconvert asali na matunda ni gharama sana...jamaa wanakula first class foods
Angalia number plate wewe. Hii picha sio ya Kenya. Hapa Kenya number plate ya nyuma huwa na rangi ya manjano. Kwa hii picha yako hayo magari yana number plate ya nyuma yenye rangi nyeupe na maandishi ya samawati.Bus terminals za Nairobi, cjui wanapata wapi ujasiri wa kujilinganisha na Tz.View attachment 2210070View attachment 2210071View attachment 2210072View attachment 2210073
Unaweza kuona elevated section ya express way ya mchina ilipoanzia na kuishiaView attachment 2210079
PHOTOSHOP






Screenshot_20220503-154548.jpgWaambie hapa ni Nairobi usikie wakilia eti ni pori. Washamba kweli. 🤣 🤣 🤣
Hapo ni Jo'burg. Yani kulingana naye, juu ya hiyo Mbezi station eti sasa Dar imeishinda Jo'burg.🤣🤣🤣Angalia number plate wewe. Hii picha sio ya Kenya. Hapa Kenya number plate ya nyuma huwa na rangi ya manjano. Kwa hii picha yako kuna gari ambalo lina number plate ya nyuma yenye rangi nyeupe.
View attachment 2210110
Wapi aerial za TV?![]()
![]()
![]()
Oooohhh nilikua nimesahau hamna stima.
![]()
Wakianza kuzalisha mafuta hutaamini macho yako. Gdp yao itakuwa kwa kasi sana bora pesa ya mafuta isiibiwe na wanasiasa.Yani Uganda gdp bado sana lol...anyway waingie LMIC's hili block letu la EAC lin'gare zaidi
Umesema soja. Heeeheee🤣🤣🤣Kumbe soja hujui maana ya ground.
Hako kaeneo kadogo kanagenerate annual revenue ya $50B ilhali Tz yote kwa jumla...$70B 😂😂😂😂Yani vimaendeleo vyote unavyoona wanapiga kelele humu vipo kwenye haka kaeneo kadogoView attachment 2210098
Mkakubali wakabomoa dream houses? 🤣Hiyo Jangwani bomoa bomoa ilishapita miaka mitano iliyopita.
Simply they cant afford their prices.Wanaijengea Tz mabasi ila wao wanatumia haya, upendo wa ajabu huu ndugu zanguView attachment 2209970View attachment 2209971View attachment 2209972
India ya mtu mmoja mmoja unaijua wewe? Ama unadanganyika na skyscrapers za Mumbai tu?Vipi maendeleo, unahisi mnawakaribia?
Poles sio stima hizo zinaweza kua hata coconut trees. 🤣 🤣 🤣 Kama nadanganya tuonyeshe hii area usiku tuone hio stima. Hakuna aerial, hakuna TV, hakuna stima.
Tuonyeshe hio kiwanja, unajua Dar hamna estates, mitaa zote zinafana tu hivi.Hiyo Jangwani bomoa bomoa ilishapita miaka mitano iliyopita.
Hapo ni Jo'burg. Yani kulingana naye, juu ya hiyo Mbezi station eti sasa Dar imeishinda Jo'burg.🤣🤣🤣
Tunachuku aalmost the same percentage anayochukua mganda kwa kila pipa la mafuta linalopita tanzania kwaiyo nyinyi Ndio mjiandae kifkraWakianza kuzalisha mafuta hutaamini macho yako. Gdp yao itakuwa kwa kasi sana bora pesa ya mafuta isiibiwe na wanasiasa.