babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Haya tumeyaongea sn humu ndani, huenda mama huwa anapita humu kmy kmy.
Ni mtu wa mitandaoni.
Haya tumeyaongea sn humu ndani, huenda mama huwa anapita humu kmy kmy.
Hiki ndicho kitu mnakiweza, uongo uongo tu but on ground [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ukiacha kuchinja kuku, kwa ss hata vijijini hakuna mtz anayeishi chini ya Dollar 1 kwa cku, labda waadzabe ambao most of them hawatumii pesa.Sasa hizi taasisi za wazungu usipotumia pesa kununua kitu unaambiwa wewe ni masikini unaishi chini ya dola moja kwa siku.
Mfano vijijini unakuta mtu ana nafaka zake, amepanda mboga mboga na anafuga kuku tena wa kienyeji, akitaka mboga anachinja kuku anapika na anachota zake unga ndani anasonga ugali au mchele anapika wali halafu taasisi ya wazungu inakuja kukuambia ni masikini na anaishi chini ya dola moja!
Kumbe soja hujui maana ya ground.Hiki ndicho kitu mnakiweza, uongo uongo tu but on ground [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2209873
Soja wewe nyamaza. Buses za Tz karibu zote zinatoka Kenya. That's a truth that you can't deny.We nae unampa attention huyo mpumbavu? Humu mpk wenzake wanamuona kituko, tangu lini Watz wakanunue buses kenya, yani wao watengeneze buses ambazo hawatumii uliona wapi? Tz iko mbali sn upande wa ma bus huwezi kulinganisha na nchi yoyote hapa Afrika labda kdg SA, na buses nyingi zinatoka China directly na zinaletwa kwa meli. Ss bus itoke Kenya alafu ipakiwe kwenye meli ili wavumbue nn?
Mitaa safi ya wenzetu waliostaarabikaTatizo lenu ni uchafu, hyo mitaa uliyoweka ambayo kila siku mnapost hiyo hiyo ni michafu kupita maelezo, hata wewe mwenyewe umeshawahi kuchukua post yangu ya humu jukwaani ukaipeleka twitter ukilia kuhusu uchafu uliopitiliza. Mnachofanya ni kuweka lipstick zen mnapost, huo ni upumbavu ndio maana on ground hamtoacha kulilia mitaa ya wenzenu tuliostaarabika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Compare and contrast [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2209885
Compare and contrast [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2209880View attachment 2209882
Vitu vyetu ni classic sn.Ukimfunga mkunya macho halafu umshushe ndani ya stendi ya Mbezi halafu umuulize hapa ni wapi atakujibu hapa ni airport. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mifukara wameshindwa hata kujenga jumba la ubalozi wao to their next door neighbor lakini kelele wanapiga mithili ya chiriku!🤣 🤣 🤣 🤣 🙆♂️ waaaaaa
So hii ndio JNIA ama there are some sections that are not captured here?