Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tunaunda magari za Tanzania 😂Sasa kipi cha ajabu mnachofanya? Tanzania inabadili prado kuwa vx v8 kitu ambacho kitawachukua centuries
Tunaunda magari za Tanzania 😂Sasa kipi cha ajabu mnachofanya? Tanzania inabadili prado kuwa vx v8 kitu ambacho kitawachukua centuries
and please don't forget this is at the heart of LA cbd. this is a normal accurence even to the most sophisticated citiesKwa viwango vyako hapa ni pasafi sio?
Kweli nyie watu ni wachafu sn.View attachment 2198252
FDI from Kenya.Mkosa akili bila aibu yupo bize kujadili FDI ya Tanzania wakati ya nchi yake inapungua kwa speed kali, ifike mahala yule mzungu aliyeondoka na akili za wakunya awarudishie.
In 2020, FDI to East Africa dropped to USD 6.5 billion, a -16% decline from 2019. FDI to Kenya decreased by -34% to USD 717 million, compared with USD 1.098 billion in 2019 FDI to Uganda decreased by -35% to USD 823 million, compared with USD 1.3 billion in 2019. However, FDI to Tanzania sightly increased to USD 1.0 billion in 2021 from USD 991 million in 2019.
Read more at: FDI Archives
View attachment 2198435
Umepewa takwimu wewe unaleta porojo,jibu kwa takwimuhakuna takwimu tanganyika inaweza ipiku kenya.. hii data hata siiamini, source ni gani..? kenya is home to cement production
a cement plant in a little known home county of kericho in terms of industries is a clear attest of how cement production is lucrative in kenyaView attachment 2197645View attachment 2197617View attachment 2197618View attachment 2197619View attachment 2197646
SSH mawazo yake makubwa sana kwahyo wanaohojihoji fuatilia na uwezo wao utagundua kitu...kuvuta wawekezaji ndio jambo la msingi na kufungua fursa zingine...Wanadhani ni sahihi sana Raisi kujificha Ikulu akikwepa gharama za kusafiriAcha utoto wewe,hajaenda USA kwa ajili ya Biden bali kwa ajili ya Royal tour na kukutana na wafanyabiashara na Wakuu wa WB/IMF
Kwani ukiwa Rais ndio huwi Raia wa kawaida? Tzn ni nini kwa US?
Acha Rais afanye mambo ya msingi ya kutafuta wawekezaji, mfanyabiashara gani wa Taifa kubwa atahangaika kukutana na Waziri kwenye Nchi za Afrika?
Dangote kwa miaka yote akija Dar huwa anakutana na Kikwete, Magufuli na Samia ,hakuna cha Waziri wala Balozi..
Hata Rais alipoenda Dubai na Egypt alikutana personally na wafanyabiashara wakubwa na matunda tuliyaona..
Nchi za kiafrika ni maskini na hazina sera za kutabirika so ni lazima wapate uhakika kutoka kwa Rais sio Waziri,,Bilionea hawezi msikiliza Waziri ..
Chapa kazi Rais wanaobeza wataona matokeo baadae kama tuu ambavyo kwa mwaka mmja amewashangaza Sukuma gang and the likes wenye akili ndogo za kujitutumua wakati ni useless..
View attachment 2197656
View attachment 2197657
View attachment 2197658
View attachment 2197659
View attachment 2197660
View attachment 2197669
View attachment 2197670
Hapa amecheza vyema sana...Sijui waliokua wanaponda hii ziara sahv wanapumuaje


Bonge la city centre
Aghalabu sana kukuta cleanest ya namna hii huko kwa mavuvuzela wa mungikiKuhusu cleanness Dar ni namba brathee, waulize ndugu zako waliowahi kufika Bongo 👇hizi ni picha nimepiga now kwa simu yangu no makeupView attachment 2197782View attachment 2197785View attachment 2197787View attachment 2197789View attachment 2197792View attachment 2197795



iyo nayo ni barabara au parking lotHapa mbona sioni ikielekea kwenye design? au wamebadilisha design?Dodoma station..
View attachment 2196093
Mimi sioni ufanano kabisa
Compare and contrast.
Morocco
Usipindishe ukweli mambo ya benki kenya wanatuzidi sana.Teargas alinibishia bila data nikaona ninyamaze since ukweli haujifichi. Na hii ndio ishara tosha BOT ikiamua kusimamia vyema financial business utagundua TZ iko mbali sana kuliko yeyote hapa EAC
hivi nimehesabu hadi 13lanes.. please heb toa ata 8lanes hapo tz tuoneiyo nayo ni barabara au parking lot
😅😅 Wow! Ulikuwa sober ukitype haya?Sahizi hapa tunapoongea GDP ya Tz ni $150bn, waki rebase itagonga $170bn, mwaka 2025 tutakuwa kwenye 200s.