Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

People are busy praising kibaki for transforming Kenyan economy and forgetting who was his finance minister

1650744949067.jpg
 
Huo ni uchafu mzee na ni ushambaa, hivi wewe kwa mfano gari yako ya ku bang kitaa unaweza kuifanya hivyo..pisi gani utaibeba labda ukabebe mabwabwa ya Kimombasa. Kubalini tuu sanaa hamuijui Pokots wakubwa nyie
Jealousy ni ya nini msee? 😂😂
Kama hamna creativity, HAMNA! Creativity na intelligence achia Kenyans.
 

Hvi wakenya mnafananisha uwekezaji wa gugu wakujenga ofisi na huu wa kongani ya viwanda kwala 🤔 sipati picha, annual revenue ni around 6 Billion $ na zaidi hii ni kwala tuu bado kigambonii industrial park ya mmsri na iyo ya mmarekani inayokuja yajayoo yanafurahisha mjiandae kifkra majirani
 
Hvi wakenya mnafananisha uwekezaji wa gugu wakujenga ofisi na huu wa kongani ya viwanda kwala 🤔 sipati picha, annual revenue ni around 6 Billion $ na zaidi hii ni kwala tuu bado kigambonii industrial park ya mmsri na iyo ya mmarekani inayokuja yajayoo yanafurahisha mjiandae kifkra majirani
Google ni part of Nairobi International Finance Center. Alafu sasa kuna uwekezaji wa viwanda which is under Special Economic Zones amabazo infrastructure tayari zinajengwa in Mombasa and Naivasha while Kisumu in is at an advance stage. Yani we are killing two birds with one stone. Mukipiga hatua moja mbele sisi tunapiga tatu mbele.
 
Acha utoto wewe,hajaenda USA kwa ajili ya Biden bali kwa ajili ya Royal tour na kukutana na wafanyabiashara na Wakuu wa WB/IMF

Kwani ukiwa Rais ndio huwi Raia wa kawaida? Tzn ni nini kwa US?

Acha Rais afanye mambo ya msingi ya kutafuta wawekezaji, mfanyabiashara gani wa Taifa kubwa atahangaika kukutana na Waziri kwenye Nchi za Afrika?

Dangote kwa miaka yote akija Dar huwa anakutana na Kikwete, Magufuli na Samia ,hakuna cha Waziri wala Balozi..

Hata Rais alipoenda Dubai na Egypt alikutana personally na wafanyabiashara wakubwa na matunda tuliyaona..

Nchi za kiafrika ni maskini na hazina sera za kutabirika so ni lazima wapate uhakika kutoka kwa Rais sio Waziri,,Bilionea hawezi msikiliza Waziri ..

Chapa kazi Rais wanaobeza wataona matokeo baadae kama tuu ambavyo kwa mwaka mmja amewashangaza Sukuma gang and the likes wenye akili ndogo za kujitutumua wakati ni useless..

View attachment 2197656

View attachment 2197657

View attachment 2197658

View attachment 2197659

View attachment 2197660

View attachment 2197669

View attachment 2197670
wazungu wamepata zuzu mpya kutoka tz baada ya Zelensky
 
wakunya mkiona hiyo flyover nsjua hamuogopi ila mnachotakiwa kuogopa kwa hiyo flyover ni kwamba kukamilika kwake ni kukamilika kwa BRT FALSE 2 ....Sasa hivi mtasikia brt false 2 imeanza Tony254 usije sema hatu kukuambia
Phase 2 au phase 3 mzee. Phase 2 tayari iko u/c.
 
Dar -Moro hakuna mkopo.

Moro-Makutopora tulipata mkopo ikiwa tayari ujenzi umefika asilimia 25 na kila Mtanzania anajua humu, tatizo lako kubwa ni ukondoo.

View attachment 2197830
Huyo shida yake kubwa ni kusahau sahau, ameshasahau kama tulikuwa tunazungumzia SGR from Dar to Moro kwamba ndiyo ilikuwa full funded by GoT. Wkt mwingine muwe mnamsanehe tu.
 
Back
Top Bottom