Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kwani watu wanatumia mchanga huko?mombasa kuna maji?
Kwani watu wanatumia mchanga huko?mombasa kuna maji?
Just don't infect me with your foolishness.We ng'ombe unakoelekea utasema mpaka hii TV program ilianzishwa na mkunya 🤣🤣🤣🤣
Caveman at his top notch 😆
View attachment 2198305
View attachment 2198306
Ni sawa na kusema wamevumbua internet 🤣Tony anasema wao wameanza miaka ishirini iliyopita?Mwaka 2000s?? Kuna wakulungwa wa Manila Phillipines na Jeepney zao wameenza baada ya Vita ya pili ya Dunia.
View attachment 2198352
Hapana wanakusifu. Mbona usisome hizo comments ujue wanasifia nini.
Tunajua hapo ni Kariakor na Upanga so there's nothing left in that picture.
Na finishing yao ni epiq huwezi kufanananisha na mafindofindo ya kina fidodido 🤣Wa Thailand wanafanya kwenye gari ambazo zimetengenezwa specifically for Passenger Transportation, wao kwenye Magari ya mizigo , jionee tofauti.
Don't rape him.
Nyinyi mlishindwa kufanya graffiti mkabakia na kuweka stickers which are not even attractive.Na finishing yao ni epiq huwezi kufanananisha na mafindofindo ya kina fidodido 🤣
Sasa utaachaje hayo maeneo ya Dar na kusema umeimaliza Dar yote?Tunajua hapo ni Kariakor na Upanga so there's nothing left in that picture.
Kwani huoni zikionekana?Sasa utaachaje hayo maeneo ya Dar na kusema umeimaliza Dar yote?
Wao gikomba ndipo chimbo lao kuu la nguo, wakati Tanzania kila baada ya hatua 1 unakutana na boutique au fashion shop ya kibabe.Hahaa yule jamaa Mkenya ikabidi tumtaftie ka manzi ka Kinondoni ndo kakaanza kumkataza kukaa kishamba na kuvaa manguo na ma viatu ya kishamba. Hawa jamaa sjui ni vp wanazidiwa hata na Warundi kwa Swag
hivi jiulize, kama unadhani kwamba uchumi wa tanzania unaweza kua kubwa shinda ile ya kenya, mbona basi unakuta kua kenya kwa siku zote inaipiku tanzania karibu kwenye kila takwimu (+95%), tunazo ziona humu.?Sahizi hapa tunapoongea GDP ya Tz ni $150bn, waki rebase itagonga $170bn, mwaka 2025 tutakuwa kwenye 200s.
Kenya ilikuwa inaongoza kwa nchi za kiafrika ikaja kupitwa na South Africa , uwekezaji wa Kenya ni biashara ndogo na za kati.Watu wengi hawajui,US ni investor namba 3 hapa Tanzania toka Kitambo nyuma ya China na Kenya.
Pole😂😂Kenya ilikuwa inaongoza kwa nchi za kiafrika ikaja kupitwa na South Africa , uwekezaji wa Kenya ni biashara ndogo na za kati.
Hii ni Report ya 2018👇🏿 Ila kwa uwekezaji wa sasa USA atakuwa namba 1
View attachment 2198419
Sindano imeingia acheni ucaveman mnajitia aibu wenyewe 🤣
Sasa kipi cha ajabu mnachofanya? Tanzania inabadili prado kuwa vx v8 kitu ambacho kitawachukua centuriesNyinyi mlishindwa kufanya graffiti mkabakia na kuweka stickers which are not even attractive.
Cavemen ni wenye bado wanachinja albino na wanaongoza dunia Kwa uchawi.Sindano imeingia acheni ucaveman mnajitia aibu wenyewe 🤣