Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas alinibishia bila data nikaona ninyamaze since ukweli haujifichi. Na hii ndio ishara tosha BOT ikiamua kusimamia vyema financial business utagundua TZ iko mbali sana kuliko yeyote hapa EAC
What's the need of having more banks which are all making losses with total assets less than one bank in Kenya?
 
Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
Ebu taja hizo technologies tuone kama zitakosekana hata South Sudan.
 
We mshamba Kenya ilianza hii culture hata kabla uzaliwe, unatupostia hapa picha za juzi from Thailand. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu unajua kuhusu hii culture, wacha kujiaibisha ukiokota mapicha kwa mtandao trying to prove your useless point.
Blind to the matatu - The Mail & Guardian

Abby's Adventures: Getting Settled in Nairobi
 
Huoni hata kwenye mahojiano sipindipindi.
Kama kushinda dialogue ndio kipimo cha elimu basi wewe ni limbukeni, wewe ndio wale walikua wanajaza booklets na kuomba zingine then matokeo yakija wana 4. Na watu kama nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana maana mpaka mpate maneno mengi ndio muelewe.
By the way kujigamba unajua pia ni moja wapo ya dalili kuwa hujui kitu maana hii dunia ina mambo mengi sana ambapo sidhani kama ni sahihi kudhani kuwa unajua kuliko wenzako
 
Wewe unapenda sana porojo,tujadili mambo ya muhimu banks,sijawahi Kua kilaza kama wewe tafadhali sana,Sipo hapa kukufurahisha
 
Wewe unapenda sana porojo,tujadili mambo ya muhimu banks,sijawahi Kua kilaza kama wewe tafadhali sana,Sipo hapa kukufurahisha
Sasa kama mimi ni kilaza kuna haja gani ya kujadili, badili mentality yako ndio uje ukitaka facts. Siwezi kupoteza muda kwa kumuelewesha mtu limbukeni
 
Sasa kama mimi ni kilaza kuna haja gani ya kujadili, badili mentality yako ndio uje ukitaka facts. Siwezi kupoteza muda kwa kumuelewesha mtu limbukeni
Ukishaona mambo muhimu huwezi kuyajadili unafanya nn kwenye huu uzi?
 
Back
Top Bottom