Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Chuga ✌️
Chuga ✌️
Si ndo hii hpa? Haizid 30km²Eastlands ni 5 Embakassi constituencies, Kamkunji na Makadara constituencies. Kuanzia Kamkunji and goes all the way to ruai and utawala boarder on the Eastern Bypass.
hakuna takwimu tanganyika inaweza ipiku kenya.. hii data hata siiamini, source ni gani..? kenya is home to cement production
Hii umemark ni Makadara na small part of Embakassi.Si ndo hii hpa? Haizid 30km²View attachment 2197615
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Na hii ndio nini umepost?hakuna takwimu tanganyika inaweza ipiku kenya.. hii data hata siiamini, source ni gani.. kenya is home to cement production
a cement plant in my little home county of kericho is just an example of how cement production is lucrative in kenyaView attachment 2197617View attachment 2197618View attachment 2197619
R.I.P mwana taaluma mwenzangu kwenye Economics..😭😭am just hearing from some east african economic scholars that the late kibaki's brilliant and wise leadership, helped ignite and spur a sustained economic growth not only of kenya, but the entire east african community including tanzania to date.!
may our messiah rest in eternal power..
View attachment 2196938


kabisaKenya miaka ya nyuma angalia historia alikuwa na uchumi mdogo kuliko Tanzania wakati Tanzania ni giant wa ku export coffee, sisal , cotton , cashew
Kwa takwimu hizo za imf ni muda mfupi tutarudi sehemu husika .
Bado kodi haikusanywi kila sekta ya biashara .
Tanzania ni sleeping giant
Nani amekuambia hio pipe ni ya drainage? Ebu jiulize mbona haiko kwa hizo pillars zingine.wakenya ni maboya sana ,kuna mshamba mmoja alisema kuwa ooh sisi ujenzi wetu ckassic tunafuata slope na ndiyo inayotiririsha maji ,ooh sisi hayuweki mabomba View attachment 2197647
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Acha utoto wewe,hajaenda USA kwa ajili ya Biden bali kwa ajili ya Royal tour na kukutana na wafanyabiashara na Wakuu wa WB/IMFyaani kuna mahali pakubwa sana anakwama ,hayo mambo ni ya mawaziri wa sanaa,
Raisi amekuwa cheap president kuonekana onekana hovyo kwenye nchi za watu kiasi cha kwamba anaonekana mzururaji tu anahaibisha sana wadhifa wa uraisi,tokea aende huko kashindwa hata kuonana na president mwenzake biden hii inaonyesha how is fool ,
SSH amekuwa kama Raia wakawaida kwa huko USA,hii imekaa vibaya sana wanaomshauri wanamchoresha tu
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hii battle tulishamaliza bablai, mtumie Tony254 kama reference alikula kichapo hapa mpaka akaomba poo .. Tz is no 1 likija suala la cement production,hivi vijiviwanda vyenu haviwezani na maviwanda makubwa ya Tzhakuna takwimu tanganyika inaweza ipiku kenya.. hii data hata siiamini, source ni gani..? kenya is home to cement production
a cement plant in my little known home county of kericho in terms of industries is a clear attest of how cement production is lucrative in kenya 👇🏽View attachment 2197645View attachment 2197617View attachment 2197618View attachment 2197619View attachment 2197646
Wakenya huwa wanajenga kumaliza tuUhasibu Flyover progress.. qualityView attachment 2197673View attachment 2197674View attachment 2197676View attachment 2197677View attachment 2197678
